unakuta mwanaume hivi

unakuta mwanaume hivi

Hivi kwanini unakuta wanaume ukikaa naohupenda kuongelea debate za ngono??
Wanawake wenye tako wakipita ndio shida kabisa kwanini lakini badala yakuwaza vitu positive
Katika vitu positive kwa mwanaume, ngono ni namba 3. Na mara nyingi hatuendi mbali na hiyo namba hata kama tutajadili mengine.
 
Mwanamke mwenye tako hata wanawake wenzake watamuongelea akipita sembuse mabaharia
 
Back
Top Bottom