SINGLE (S) special's thread

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,647
75,837
uzi huu ni mahususi maana thread za wapendao kwa kipindi hiki cha valentine zimezidi sana. Sijui wanaturingishia! ENWEI: itakuwa labda mapenzi yamewanogea (kwa ambao hamyajui yalivyo, yananogaga asikwambie mtu).

Sio kazi rahisi kuwa single. Zinahitajika efforts za ziada kujipa moyo na matumain ili uweze kusonga mbele na maisha. Kuna ambao mpo single kisa mmeachika soon, wengine niuamuzi wenu, wengine mlitendwa kiasi kwamba mnaogopa kujiingiza kwenye mapenzi tena na mambo kama hayo . Poleni sana. Binafsi nipo single ila sitafuti.

Kesho ndiyo siku yenyewe bhaana. Wenye watu wao watapeana zawadi na kuonjesha ladha zao . Masingle wote najua hamtaenda mahali so poleni. Koh kaeni hapa mfarijiane. Pia mnaweza mkabahatishana na kuopoana humu mapumzikoni mwetu mkayajenga na kesho historia ikaandikwa upya.

Ujumbe

2017-02-13+17.33.04.jpg
 
Back
Top Bottom