Ni umri upi sahihi kwa mwanaume kuoa?

mchongi

Senior Member
Jul 13, 2011
101
6
Wanajamii najitokeza mara ya kwanza kuomba maoni na michango yenu juu ya swali hili linalonitatiza. Binafsi nikiwa kama kijana na muumini mzuri wa mila na desturi za mwafrika natatizwa na umri sahii wa kijana wa leo ambapo antasemekana kupitwa na wakati wa kuoa.

Hivyo basi kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mwingiliano wa desturi na mila na suala zima la maisha kama muda mwingi kuutumia ukiwa shule najikuta sipati muafaka wa kitabibu au kisociolojia nai wakati upi mwafaka wa kijana kuoa nakaribisha mchango na maoni yako.

Shukrani
 
Hakuna umri sahihi wa mwanaume kuoa ila ni tu akijiona yeye binafsi yuko tayari kwa maisha ya ndoa na kuishi na mwanamke ndipo pale anapoamua kuoa ndio maana unaona wengine wanaoa wakiwa na miaka 25 wengine 30 wengine 27 wengine 40 wengine hata 80 na kadhalika so inategemea na utayari wako wewe mwenyewe.
 
Hii nimeipenda!

Mzima lakini wewe TF? Miss you
 
Wanajamii najitokeza mara ya kwanza kuomba maoni na michango yenu juu ya swali hili linalonitatiza. Binafsi nikiwa kama kijana na muumini mzuri wa mila na desturi za mwafrika natatizwa na umri sahii wa kijana wa leo ambapo antasemekana kupitwa na wakati wa kuoa. Hivyo basi kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mwingiliano wa desturi na mila na suala zima la maisha kama muda mwingi kuutumia ukiwa shule najikuta sipati muafaka wa kitabibu au kisociolojia nai wakati upi mwafaka wa kijana kuoa? nakaribisha mchango na maoni yako. Shukrani

Mchongi, mimi naomba nikukaribishe JF, maana umesahau hata kupiga hodi!

Karibu sana, ila kumbuka tu kusoma kanuni na sheria za JF
 
Hakuna umri sahihi wa mwanaume kuoa ila ni tu akijiona yeye binafsi yuko tayari kwa maisha ya ndoa na kuishi na mwanamke ndipo pale anapoamua kuoa ndio maana unaona wengine wanaoa wakiwa na miaka 25 wengine 30 wengine 27 wengine 40 wengine hata 80 na kadhalika so inategemea na utayari wako wewe mwenyewe.

Duh TF! Utadhani uliingia kichwani mwangu Mkuu! :) Niliingia hapa kumjibu huyu nikakuta kile nilichotaka kukiandika tayari umeshakiweka :)

Last edited by a moderator:
Wanapsychologia wanapendekeza Miaka 35 b
Wanajamii najitokeza mara ya kwanza kuomba maoni na michango yenu juu ya swali hili linalonitatiza. Binafsi nikiwa kama kijana na muumini mzuri wa mila na desturi za mwafrika natatizwa na umri sahii wa kijana wa leo ambapo antasemekana kupitwa na wakati wa kuoa. Hivyo basi kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mwingiliano wa desturi na mila na suala zima la maisha kama muda mwingi kuutumia ukiwa shule najikuta sipati muafaka wa kitabibu au kisociolojia nai wakati upi mwafaka wa kijana kuoa? nakaribisha mchango na maoni yako. Shukrani
 
Wanajamii najitokeza mara ya kwanza kuomba maoni na michango yenu juu ya swali hili linalonitatiza. Binafsi nikiwa kama kijana na muumini mzuri wa mila na desturi za mwafrika natatizwa na umri sahii wa kijana wa leo ambapo antasemekana kupitwa na wakati wa kuoa. Hivyo basi kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mwingiliano wa desturi na mila na suala zima la maisha kama muda mwingi kuutumia ukiwa shule najikuta sipati muafaka wa kitabibu au kisociolojia nai wakati upi mwafaka wa kijana kuoa? nakaribisha mchango na maoni yako. Shukrani

kwakweli kwa maisha haya ya kibongo navyoyajua mimi,
and for the betterment of the expected marriage r/ship,
mwanaume aoe akiwa 35+, mwanamke akianza kuolewa akiwa 25+ sio mbaya!!!!!

I stand to be corrected.....................................
 
Sasa hivi nina miaka 19 so bado nadaiwa miaka 16 kumbe bado nina muda wa kula bata lol!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom