Wadada wenye Degree ndo wanaongoza kuwa Single Mothers

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,097
Bwana Yesu asifiwe wapendwa!!!!

Nimefanya utafiti nimegundua wadada wengi wenye elimu za juu ndo wanaoongoza kuzalishwa na kuachwa, Ukilinganisha na wa vijijini.
>> Maana wale wa vijijini asilimia kubwa wanaolewa lakn wadada waliofika Elimu ya juu kwa sbb ya kutamani maisha mazuriii, wamejikuta wanajiingiza kwny mahusiano na mtu anaemzania kuwa ana maisha safi,,,,na hatimaye anaposhika tu ujauzito,,na mahusiano ndo yanaishia hapo.

Na wao wanajifariji kwa kuwa amesoma ana kaDegree au anafanya kazi fulani basi atalea tu mtoto.
Na baadae anajaribu kuingia tena mahusiano na mwingne anashika tena mimba kisha uhusiano unakufa. Tena uhusiano unakufa kwa uchungu sana maana huwa hawatarajii kama yatatokea.

Tena Wadada waliosoma au wenye kazi mzurii ndio wanaoongoza kuwa uchungu moyoni wa kimahusiano(KUUMIZWA) kuliko wa vijijini. Tena inafika wakati kutokana na kuumizwa wanaamua kuolewa na Elimu au Kazi zao.

JAMANI MM NIMESEMA KAMA MCHUNGAJI NAOMNA WADADA MSINICHUKIE. NINAWAPENDA MAANA NAJUA MUNGU ANAWEZA KUWARUDISHIA THAMANI ZENU.
 
SMS.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom