Wakuu naombeni mniombee sana

Wakuu naombeni mniombee sana

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,322
Reaction score
4,211
Wakuu leo nina appointment au ahadi ya kuonana na mdada nisiyemfahu ila tulikuwa tunachat PM tu kuanzia week iliyopita. Tukatongoza tukaelewana wenyewe.

Sasa leo saa kumi na moja jioni ndiyo tumepanga kuonana lodge fulani hapa Magomeni.

Sasa sijui yupoje? Sijui ni kituko kama vituko vingine vya hapa mjini?
Sijui ni mzuri na mrembo kama anavyosema yeye mwenyewe au ndiyo yaleyale maajabu ya dunia.

Mmmh hata Sijui naenda kukutana na kiumbe cha aina gani. Hii mingine ni mitihani tu. Wakuu niombeeni nimkute anafanania na yule ambaye yupo kwenye fikra yangu.
 
Tafuta kabisa chenji uende nayo,kama vipi nunua maji ya 1000,keki mbili kila moja 600 ili ubakie na zile chenji zako za kibaharia
Hahahaaa eti chenji za kibaharia.
 
Nafikiri wa leo atakuwa yuko safi ..na sidhani sana atakuwa kavaa sweta la tanzania
Ngoja si tujiandae kupokea kiwango kipya cha nauli badala ya kile cha 7800
 
Write your reply...yule Dada wa sweta la Tanzania Yule mganga wa kienyeji ndo mshaachana nae tayari au?
 
1568276362446.png
1568276362446.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom