Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,126
- 62,115
Tunavyoweza kupeana tupeaneni ila tusipeane matatizo.Kama wewe mkaka kuna kitu unaweza kumpatia mdada mpatie,na wewe mdada kama unakitu cha kumpatia mkaka mpatie....ila kumbuka usimpatie matatizo.Tumeletwa duniani tufurahiane na baadaye turudi tusikokujua.