Usichokifahamu kuhusu : HUMAN CLONING

puker

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
940
1,847
kabla ya yote napenda kwanza kumshukuru
MUNGU kwa kunifanya niwe salama mpaka
sasa,pia nina imani nyie pia mpo salama
vilevile na tuendelee kumwomba MUNGU
asimame mbele yetu siku zote za maisha yetu.
Leo nimekuja kushare nanyi elimu kidogo
inayo husu "human cloning"na nina amini
wengi wetu ni wageni wa hii kitu..katika
makala hii tata naamini wapo ambao wata
amini hiki ninachoenda kukisema na wapo
ambao hawata amini.Unaruhusiwa kubishaila
tuu tolea maelezo kile unachobisha
neno "CLONING" ni kitendo cha kutengeneza
kiumbe kipya kupitia material ya kiumbe
kingine ili kutafuta ufanano sawa katika
maabara..clone ipo ya aina nyingi kama mimea
na wanyama.. HUMAN CLONING; ni kitendo
cha kuchukua celltishu na gene(DNA) ya mtu
fulani na kutengeneza mtu mwingine anae
fanana na yule wa mwanzo kwa kila kitu
kupitia maabara.human clone ili anza miaka ya
1960.lakini badae umoja wa mataifa ulikataza
kitendo hicho kibaya baada ya mwaka 1967
CIA kuaibishwa na bunae lamarekani kwa kufanya majaribio ya clone ya binadamu
kwenye project ya mk-ultra.ndipo mataifa
mengine yote yalipo acha.
lakini kuna vikundi kama illuminant/
freemasoni wao waliendelea kufanya kitendo
hicho kwasiri ili kutimiza lengo lao lakuja
kuitawala dunia katika new word order.ikawa
wanafanya hivi,endapo akitokea mtu marufu
mwenye ushawishi mkubwa dunia ambae
anapingana nao basi ilikuwa ana uwawa na
kuchukua cells na gene zake ili kutengeneza
mtu mwingine(copy) anae fanana na yule walie
muuwa na huyu mpya ataendelea kufanya yale
aliye yafanya yule lakini akiwa chini ya
mamlaka yao hao freemason,au mfano mtu
wao muhimu akitaka kufa wana mfanyia clone
ili aendelee kuishi. Katika hii ishu nikwamba
wapo watu maarufu ikiwemo
wanamuziki,wanasiasa na waigizaji ambao
tuna wajua lakini sio halisi yani namaan isha
walisha kufa kitambo lakini waka weka siri juu
ya vifo vyao na kutengeneza copy ya mtu
mwingine kama yeye ambae ana ishi mpaka
sasa..hii apa list ya watu marufu ambao
walikufa lakini waka fanyiwa clone.

ITAENDELEA.......
67831974_816001795464070_7035934054203465763_n.jpeg
 
Conspiracy kabla ya chai??
Conspiracy kubwa sana mkuu nnachojua hiyo bado it's far beyond human abilities kwa technology hii iliyopo na anatuchanganya na matango pori tu.
Binafsi nilianza kufatilia hii kitu kuna movie niliziona hapo ndipo nikawa nafatilia documentaries na kusoma article tofauti ndipo nikagundua bado sana.
 
Mtoa kuwa open minded ndio utaweza kuchambua hii kitu vinginevyo utakuwa unameza na kula tango pori na kuwagawia wenzio tu
 
INAENDELEA......

PART 2.
GHUMAN CLONING(WATU COPY).
Wapo watu wengi sana wanaosemekana kuwa
ni copy mimi nitaelezea wachache ili
kupunguza mijadala maa a hakuna uthibitishi
kamili uliothibitisha hili jambo,kwamaana lipo
chini ya mashirika ya siri ILLUMINAT &
FREEMASONS
1.mwana mziki EMINEM.
najua watu wengi mna mfahamu uyu, ukweli
nikwamba uyu eminem tunae muona sasa
inasemekana sio halisi ,eminem halisi alisha
kufaga ila waliweka siri kuhusu kifo chake
kisha waka mtengeneza mtu copy ambe
anafanana kila kitu na eminem...jina EMINEM
alilifanua kama "Every Mamals Is Nice except
me" akimaanisha kwamba "kila kiumbe hai ni
kizuri kasoro yeye". Eminem halisi
inasemekana alisha kufaga toka mwaka
2006 ,kama unakumbuka mwaka 2006 ili tokea
ishu kuhusu kuwa eminem amenusurika kifo
baada ya kuji overdosse na alikuwa ICU ,ukwweli
ni kwamba eminem baada ya kuji overdose
alikufa lakini kutokana na umuhimu wake na
kwa ushawishi wake mkubwa ikabidi wafiche siri juu ya kifo chake kisha wakachukua cell na
jenis(DNA) zake nakutenge neza eminem
mwingine huyu tunae mfahamu..na kama
unakumbuka vizuri mwaka 2006 baada ya
kupona maisha ya eminem yali badilika..mwili
wake uli badilika ukichukua picha ya eminem
wa miaka ya 2000 uki mlinganisha na wa
miaka 2010 utagundua ,macho yake yame
badilika kutoka blue kuwa
brown,sura ,pua,mtindo wa nywele na hata
kichwa ni tofauti.
tokea apo ali anza kuimba nyimbo zinazo husu
ushetani, na mara nying amenukuriwa sehemu
tofauti akisema "anafikiria kuhusu kifo chake
kila usiku anapo enda kulala"
pia zipo nyimbo zake ambazo amezungumzia
kuhusu yeye sio binadamu wa kawaida.
mfano, nyimbo ya "CINDERELLA" ikiwa na
maana "huwezo wake hauja tambulika" kwenye
hiyo nyimbo kuna sehemu amesema "'send da
feller shady done come to wrap the game up,in
acellophane raise hell from hell he come,but
didnt come to bore u with the cinderela
story.nor did he come to do the same" akimanisha "wamemtuma mtu jeurimwongo kuja
kukamilisha mchezo,ndani ya plastic
amezaliwa kutoka matesoni/jehanam na
kuja,lakini hajafika kukubugudhi kwa hadithi za
sinderela,hapana amekuja kuyafanya yale....|

69194878_694664474383567_7601356000110944735_n.jpeg
68690161_2320339578228312_3147939050532064312_n.jpeg
69268510_377061982974992_1340097717400495616_n.jpeg
 
We jamaa una upuuzi mwingi sana ahahaha (in Kenyatta's voice)
 
Acheni upuzi wenu, mfano huyo Eminem amekuwa "Teja" kwa muda mrefu sanaa changanya na ulevi wa kupindukia. Sasa kwa mtu mwenye akili huwezi shangaa sura yake kuchoka ghafla namna hiyo.
 
mi naona mnanichanganya tu mambo ya muvi haya mnayaleta kwa eminem
 
INAENDELEA......

PART 2.
GHUMAN CLONING(WATU COPY).
Wapo watu wengi sana wanaosemekana kuwa
ni copy mimi nitaelezea wachache ili
kupunguza mijadala maa a hakuna uthibitishi
kamili uliothibitisha hili jambo,kwamaana lipo
chini ya mashirika ya siri ILLUMINAT &
FREEMASONS
1.mwana mziki EMINEM.
najua watu wengi mna mfahamu uyu, ukweli
nikwamba uyu eminem tunae muona sasa
inasemekana sio halisi ,eminem halisi alisha
kufaga ila waliweka siri kuhusu kifo chake
kisha waka mtengeneza mtu copy ambe
anafanana kila kitu na eminem...jina EMINEM
alilifanua kama "Every Mamals Is Nice except
me" akimaanisha kwamba "kila kiumbe hai ni
kizuri kasoro yeye". Eminem halisi
inasemekana alisha kufaga toka mwaka
2006 ,kama unakumbuka mwaka 2006 ili tokea
ishu kuhusu kuwa eminem amenusurika kifo
baada ya kuji overdosse na alikuwa ICU ,ukwweli
ni kwamba eminem baada ya kuji overdose
alikufa lakini kutokana na umuhimu wake na
kwa ushawishi wake mkubwa ikabidi wafiche siri juu ya kifo chake kisha wakachukua cell na
jenis(DNA) zake nakutenge neza eminem
mwingine huyu tunae mfahamu..na kama
unakumbuka vizuri mwaka 2006 baada ya
kupona maisha ya eminem yali badilika..mwili
wake uli badilika ukichukua picha ya eminem
wa miaka ya 2000 uki mlinganisha na wa
miaka 2010 utagundua ,macho yake yame
badilika kutoka blue kuwa
brown,sura ,pua,mtindo wa nywele na hata
kichwa ni tofauti.
tokea apo ali anza kuimba nyimbo zinazo husu
ushetani, na mara nying amenukuriwa sehemu
tofauti akisema "anafikiria kuhusu kifo chake
kila usiku anapo enda kulala"
pia zipo nyimbo zake ambazo amezungumzia
kuhusu yeye sio binadamu wa kawaida.
mfano, nyimbo ya "CINDERELLA" ikiwa na
maana "huwezo wake hauja tambulika" kwenye
hiyo nyimbo kuna sehemu amesema "'send da
feller shady done come to wrap the game up,in
acellophane raise hell from hell he come,but
didnt come to bore u with the cinderela
story.nor did he come to do the same" akimanisha "wamemtuma mtu jeurimwongo kuja
kukamilisha mchezo,ndani ya plastic
amezaliwa kutoka matesoni/jehanam na
kuja,lakini hajafika kukubugudhi kwa hadithi za
sinderela,hapana amekuja kuyafanya yale....|

View attachment 1204139View attachment 1204140View attachment 1204142
Daz Baba, Chid Benz n.k. nao ni "Human Cloning?"
 
Unachojaribu kutueleza ni concept iliyotumika kutengeneza hii movie mpya ya will smith (GEMINI MAN)

M not sure kama human cloning inawezekana kwa sasa, ila duniani kuna siri nzito sana zingine ukielezwa huwezi elewa.

images.jpeg
 
Bro nikuhakikishie tuu hiki kitu hukijui manake hata we umesoma mahali tena ikiwa imeandikwa kwa kiswahil,,,umecopy tuu na kuja kutupestia hapa
Sjui kwann wamemuattack sana EMINEM kulinganisha tuu picha that doesnt matter mbn me ukichukua pic yangu ya mwaka 2014 na saiv hazfanan then kwann ufananishe picha ya mwaka 2001 na 2007 unashindwa kuchukua atleast 2006 na 2007 kama kuchukua kabla ya ajali na baada ya ajali imeshindikana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom