Nilikutana na huyu kijana kazini. Yeye alipata direct employment baada ya form six. Katika maongezi alinitaarifu kuwa ana mtoto na mama wa mtoto yuko chuoni kwa sasa hivi yeye ni baba na mama na...
Inasemekana watoto wadogo hupenda sana kulia usiku....ili kuzuia wazazi wao wasifanye tendo la ndoa...hii ni kutokana na kauli ya mwanasaikolojia aliyeishia darasa la saba.Je kuna ukweli wowote?
Huyu bibie alitoka zile familia za ushuani miaka, ile miaka yetu sisi bibie huyu alimudu kulizungusha yai Form Four. Kabla wazazi hawajaweza kulitafakari hili vizuri wakagundua bibie ana mimba...
Sometimes ngumu sana kumuelewesha mwanamke jambo flani, iwe kuchelewa kurudi, sms/calls za wanawake and the like
Wanawake mjifunze kuwaamini waume zenu.
Kuna wakati Mme wako anaweza kuchelewa...
KUWA mwanaume si kigezo cha msingi cha kuwa na mke. Mke anahitaji mwanaume makini, mwenye kujitambua na kujua kutekeleza wajibu wake.
Mtu mwenye sifa hizi hawezi kuwa mwanaume yeyote. Ni lazima...
Habarini wadau,
Ijumaa mida ya jioni ya saa12 nimekatiza maeneo ya maili moja stendi kuna kabinti kakaliii kamevaa skin Jeansi ya Blue mpauko na T-shirt ya kumbana kuonyesha shepu yake vema begi...
Sijawai ona wanawake wa ovyo kama Tanzania, kila nayempata naona mzigo halafu akili kichwani akuna kabisa. Nilipanga kutokutongoza mtanzania, lakini nikabadilisha mawazo baada ya kumaiza Chuo...
Salaam wana jf, natumai wote mnafurahia mapumziko ya mwisho wa wiki. Amani na faraja iendelee kua miongoni mwenu.
Moja kwa moja kwenye mada, nimegundua mwanaume ni kiumbe muungwana sana. Pongezi...
Ndugu zangu habari za leo? Kama kichwa cha habari inajieleza nahitaji mchumba wa kuoa msichana Elimu yangu degree,miaka 39, kwa sasa naishi nje ya nchi kwa mkataba ya miaka mitatu,sina...
Imeandikwa na Jones John, mdau wa #Malezi
Nasikitika sikupata fursa ya kuchangia mjadala wa viboko wakati mada ingali hai na ya moto kufuatia tukio la wanafunzi wa shule ye Kiwanja, Mbeya. Pili...
Duniani wawili wawili.
Kati ya vilivyoumbwa vya kufanana basi Brother Gambo na mke wake wanafanana.
Big up kaka nahisi hata genes zenu na mambo mengine mnaendana pia.
Jamani mnisamehe tu but kwakweli mwenzenu nafurahia sana art ya kutongoza. Unakutana na msichana mrembo, educated, boss katika taasisi flani anakubalika na kuogopwa. Unamtazama machoni unaona...
Habari wakuu,
Huyu msichana nilianza kuvutiwa nae mwaka 2015 nilikuja kumweleza ukweli wa hisia zangu juu ya kumpenda mwaka 2016 na majibu yake daima hayakuniridhisha sana japo kwa upande wake...
Najaribu kutafuta tafsiri ya hawa wanawake, yaani unampigia sim mda ambao anatakiwa muonane mupashe kiporo moto gafla sim haipokelewi unasubiri labla unajipa moyo atakuwa yupo mbali na sim ile...
Habar zenu wana jukwaa la wapenda nao.
Leo napenda kusikia kutoka kwenu kuhusu Matukio au tukio La kujinga ambalo umewai kufanya au kufanyiwa na mpenzi wako.
Mm Nakumbuka nimewai kuombwa denda /...