Nilichogundua ni kwamba mwanaume ni kiumbe mstaarabu na muungwana sana

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
713
1,636
Salaam wana jf, natumai wote mnafurahia mapumziko ya mwisho wa wiki. Amani na faraja iendelee kua miongoni mwenu.

Moja kwa moja kwenye mada, nimegundua mwanaume ni kiumbe muungwana sana. Pongezi kwa wanaume wote.

Ikitokea wanaume wenzetu wakapungukiwa nguvu za kiume (mimi sijapungukiwa) utawasikia wanawake (japo sio wote) wanavyowakebehi, kuwadhihaki na kuwa kejeli wazi wazi na wanaume hua wala hawajibu mashambulizi, daima hua ni watulivu na wakinyamazia tu. Utadhani hawana cha kujibu, mwanaume mwenye maumbile madogo hudhihakiwa sana hata msemo wa kibamia ni wanawake wameucojoin na kuupublisize ila ebu fikiria wanawake mbona wao WOTE matiti yao hatima yake yanalala kama ndala ila wanaume hua hatuwakejeli wala kuwadhihaki.

Hua tuko pamoja nao tu tena tukiwafariji kwa maneno ya upendo. Kama wao hawapendezwi na vibamia vya wanaume (binafsi sina kibamia) je wao wanadhani sisi tunapendezwa na matiti yaliyo kama ndala ?!! Kwanini wanapenda kudhihaki maumbile ya wanaume wakati hata wao tena wao ni WOTE matiti yao hupoteza mvuto kabisa ila hatuwadhihaki kwa hilo?

Ikitokea wanaume wakapungukiwa kipato, oooh oooh wanawake (sio wote) watakejeli, watadhihaki ila angalia wanaume hua hawajibu dhihaka hizo. Na utakuta mwanamke anakebehi mwanaume eti anakitambi wakati yeye huyu mwanamke ana maumbile mapana na yaliyolegea katikati ya miguu ila wanaume kamwe hawamdhihaki kwa kumkumbusha kua wana maumbile yaliyotanuliwa na kulegea kupita kiasi.

Sifa ya mwanamke uzuri ila 89% ya wanawake hua na sura za baba zao ila kamwe wanaume hatuwadhihaki wanawake kwa kua na sura zisizo nzuri tena mara kadhaa tunawafariji na kuwatia moyo kua wao ni warembo wakati 89% hua hawana mvuto ila hua hatusemi, hua kimya tu aise wanaume ni watu waungwana na wastaarabu ukweli usemwe tu ndugu zangu. NAWAPONGEZA WANAUME WENZANGU WOTE, NYINYI NI TASWIRA HALISI YA UUNGWANA.
 
Mbona watusi wanawake
Punguzo la mihanjo yetu
Pia zidisho la mahangaiko
Wapo wafanyao wepesi
Wapo wafanyao ugumu
Usihukumu kirahisi hivyo
Hangaika tu na uliyenaye
Wengine waachie wenzio

Bazazi!
 
Na hapa napita kimya ili kuendelea kuonyesha usitaarabu wetu. Ila nilkuwa nashauri na mtoa mada ungekaa kimya tu ili tudhihirishe usitaarabu wetu. Huwezi zuia kelele kwa kusema acha kelele. Maana hata hilo neno ni kelele.
 
Kwa nini hatuwapondi? Kwa nini tunawasifia uongo?

Mtoa Mada nadhani umesahau Kama ngamia huliwa kwa dua
Tunawapamba tupate tukitafuchacho

Mfano nishawahi kuekti nalia nimekufa nimeoza pindi nafukuzia papuchi Fulani yenye majivuno kitaa ili mradi niitafune na aliingia kingi mwenyewe akaamini.. Japo kabichwa kalikuwa kanavimba kakiniona mtu mzima nampigia goti namsumbua kila siku namsifia kupitiliza.. Nlivyopata ninachotaka ... Game likageuka

Wengi wetu sio Kama tunawasifia kwel na sura za baba zenu.. Tatizo mabaharia tunasaka windo
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom