Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,962
Mboni ulishaniteka, mimi ni mateka wako
Mboni wajua kupika, mapishi yote ya jiko
Mboni mimi naridhika, Na hayo mahaba yako
Wewe mahabuba wangu, Shairi nakuimbia
Mboni nataka kuramba, nipe usinibanie
Mboni wewe wanibamba, wafanya nijivunie
Mboni unavyojiremba, sitaki nikuvamie
Wewe mahabuba wangu, Shairi nakuimbia
Mboni kwangu ni mtamu, sema wapi nikurambe
Mboni mimi ni timamu, unanifanya nivimbe
Mboni wewe si haramu, kama pipi nikurambe
Wewe mahabuba wangu, Shairi nakuimbia
Mboni nikupe mahaba, Ukolee ulegee
Mboni najaza kibaba, kitandani upokee
Mboni tatu siyo haba, Ni goli za kipekee
Wewe mahabuba wangu, Shairi nakuimbia
Mboni napenda vya mbele, vya nyuma kweli siwezi
Mboni hayo makelele, cha kwanza ni fumanizi
Mboni shika chini mbele, nipande kama mkwezi
Wewe mahabuba wangu, Shairi nakuimbia
Mboni hizo dodo mbili, mikono yangu ishike
Mboni nifunge la pili, tomasa ili nicheke,
Mboni wanibana mwili, nimekufanya ufike