Kutongoza ni hobby yangu

Kutongoza ni hobby yangu

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
620
Reaction score
865
Jamani mnisamehe tu but kwakweli mwenzenu nafurahia sana art ya kutongoza. Unakutana na msichana mrembo, educated, boss katika taasisi flani anakubalika na kuogopwa. Unamtazama machoni unaona ngoja nimcheck ugumu wake.

Unaanza mchakato wa kumnasa, unaanza kuwa karibu, kama ni mlokole nawe unaanza kwenda kanisani na kukemea mapepo ya ngono. Kama ni classy unaanza kuvaa na kujiweka kwenye level yake ikiwemo kujiweka fit financially etc. Unapata datenaye- unaendanae mahala unagharamia na kujitoa kisawasawa. Mtoto wa watu anaingia kingi, from ugumu anaanza kukutrust.

Ikifika hatua ya mwisho kwa sisi wenye hii game ni mwiko kula ile kitu kwani hutaki kumtenda. Akilazimisha basi unaweza kumkiss, unaendanae mahala mnafanya yote isipokuwa kula lile tunda. unatoa udhuru kwani utakiuka miiko ya hii game. Mtoto wa watu anadevolt zaidi, anatamani kale kamchezo, anakupigia kila siku. Unamuita room analala but unajifanya mgonjwa anakuamini na anaishia kuguswa hadi Juice inamwagika kwa kumsaidia yaani ni raha sana Ukiniona na msichana wako jua wala simli just game tu.

Nimejaribu kuacha lakini nashindwa, naamini hata pele huwa anachukua mpira anapiga danadana kisha anauachia. Ni raha lakini inaumiza nafsi za wenzetu. Nawaomba wanaume wenzangu tujiuzulu hii kitu najua mnasema hili game halitaki hasira.
 
Acha kuchezea hisia za mabinti mkuu, mimi nilishaachaga
 
Ipo siku utaingia church kukemea mapepo uanakutaja nia yko kwa bint hapo lazima utoloke kabla watu hawafumbua macho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nonsens sas lengo la kumtongoz ni kumchezea au vp?? Au jamaa hupg mech??

Sent from my Android phone
 
Ukiona mwanaume anaingia chumba kimoja na mwanamke na wanakaa zaidi ya masaa matatu na hawajafanya chochote.,basi jua fika huyo mtu jogoo hapandi mtungi.
 
Jamani mnisamehe tu but kwakweli mwenzenu nafurahia sana art ya kutongoza. Unakutana na msichana mrembo, educated, boss katika taasisi flani anakubalika na kuogopwa. Unamtazama machoni unaona ngoja nimcheck ugumu wake.

Unaanza mchakato wa kumnasa, unaanza kuwa karibu, kama ni mlokole nawe unaanza kwenda kanisani na kukemea mapepo ya ngono. Kama ni classy unaanza kuvaa na kujiweka kwenye level yake ikiwemo kujiweka fit financially etc. Unapata datenaye- unaendanae mahala unagharamia na kujitoa kisawasawa. Mtoto wa watu anaingia kingi, from ugumu anaanza kukutrust.

Ikifika hatua ya mwisho kwa sisi wenye hii game ni mwiko kula ile kitu kwani hutaki kumtenda. Akilazimisha basi unaweza kumkiss, unaendanae mahala mnafanya yote isipokuwa kula lile tunda. unatoa udhuru kwani utakiuka miiko ya hii game. Mtoto wa watu anadevolt zaidi, anatamani kale kamchezo, anakupigia kila siku. Unamuita room analala but unajifanya mgonjwa anakuamini na anaishia kuguswa hadi Juice inamwagika kwa kumsaidia yaani ni raha sana Ukiniona na msichana wako jua wala simli just game tu.

Nimejaribu kuacha lakini nashindwa, naamini hata pele huwa anachukua mpira anapiga danadana kisha anauachia. Ni raha lakini inaumiza nafsi za wenzetu. Nawaomba wanaume wenzangu tujiuzulu hii kitu najua mnasema hili game halitaki hasira.

Kijana napenda hobby yako.....tunatofautina kidogo tu ila naomba unisaidie kitu, nikupe shilling ngapi ili nikushikishe ukuta ama ncha ya kitanda?
 
=====
Ukikua utaelewa maana yakuwa incharge ya haya mambo....
 
Mkuu kuna neno lina trend kwa sasa. "Panda"
Angalia wasianze kukuita panda mkuu mtoto anakupa tunda we unaleta bongo movie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom