Yeah! Beautiful couple!!Actually wanasaikolojia wanaamini kuwa mtu anapotafuta mwenza hutafuta mtu anayefanana fanana naye kwa sababu ni kawaida kwa mtu kujitumia mwenyewe kama kigezo cha uzuri. Hii mara nyingi inatokea sub consciously na japo mara nyingi yaweza kuishia katika ufanano wa tabia na traits zingine, wakati mwingine inavia mpaka kwenye mwonekano wa sura na mengineyo.
All in all beautifu couple!
Sasa unakoelekea si kuzuriNatamani nione watoto wao wakoje.
Natamani nione watoto wao wakoje.
Kwanini mkuu?Sasa unakoelekea si kuzuri
kweli? Nitumie picha niwaoneWanafanana na wa Godbles Lema
Duniani wawili wawili.
Kati ya vilivyoumbwa vya kufanana basi Brother Gambo na mke wake wanafanana.
Big up kaka nahisi hata genes zenu na mambo mengine mnaendana pia.
ila wanja aliopaka gambo umekubari!Picha ya pili ni kama poda ina mgomo baridi flani hivi amazing..
Kuendana sawa lakini kupendana ni jambo lingine huwezi ukajua kwa kuangalia picha tu.Sema wameendana na kupendana.