Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,444
- 62,822
Inasemekana watoto wadogo hupenda sana kulia usiku....ili kuzuia wazazi wao wasifanye tendo la ndoa...hii ni kutokana na kauli ya mwanasaikolojia aliyeishia darasa la saba.Je kuna ukweli wowote?