nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
Habari wakuu,
Huyu msichana nilianza kuvutiwa nae mwaka 2015 nilikuja kumweleza ukweli wa hisia zangu juu ya kumpenda mwaka 2016 na majibu yake daima hayakuniridhisha sana japo kwa upande wake aliona sababu za msingi.
Kwa kipindi chote baada yapo nimejitahidi kuendelea kumuonyesha upendo wa dhati nikitegemea kuna siku atabadili msimamo wake.
Kiukweli huyu dada nampenda sana sana ila ikafika kipindi nikaona bora life iendelee tu kama Mungu kapanga niwe nae itakuwa.
Wakuu kwanini nakuja hapa..
1.Kuna muda nimejaribu kuwa mbali nae huyu binti lakini bado ameendelea kuhitaji kuwa karibu sana na mimi kuanzia mawasiliano muda wote pia na OUTING
2.Huyu dada nakumbuka nishawahi fanya nae romance mara kibao na mambo mengi kasoro papuchi.
3.Ni mtu ambaye ana wivu mkubwa na mimi na uwa simuelewi hapo.
4.Jambo kubwa linalonifanya nisiendelee kutamani kuwa nae huyu dada naamini kuna mtu anampenda zaidi yangu na huyo mtu ni rafiki yangu pia.
5.Na amekuwa mtu anayelalamika kuwa ananipenda sana na mimi simuamini.
6..amenifanya mtu wa karibu sana kunielezea shida zote nilizona uwezo nazo uwa namsaidia
Wakuu mimi SIMUELEWI NYIE MNAMUELEWAJE?
Jambo kubwa nataka niwe mbali nae je itakuwa sahihi na nitawezaje?