Kuoa tuoe rwanda, uganda, kenya, burundi, zambia na msumbiji hata s.afrika. tanzania hapana wanawake hovyo

Changes boy

JF-Expert Member
May 17, 2017
552
362
Sijawai ona wanawake wa ovyo kama Tanzania, kila nayempata naona mzigo halafu akili kichwani akuna kabisa. Nilipanga kutokutongoza mtanzania, lakini nikabadilisha mawazo baada ya kumaiza Chuo maana life lilikua halieleweki yani sina malengo maalumu lakini sasa nimeona ni bora ni tokee tuwanachuo napiga na kusepa sitaki mausiano ya kudumu maana Dada zetu wananjaa hata ukimnyima 10k ananuna wiki nzima halafu anayokazi ya kumuingizia kipato kwanza karaha wanataka uwatoe out kila weekend halafu hawana ndoto za mbeleni. Nimeona ni bora nisake mkwanja nioe mzungu au nioe nje ya Boda uko kuvuka mipaka.
Wanawake wa Tanzania hawajui mapenzi wanataka tuwe wazazi wao, hawajui maana ya ndoa.
Unakuta mwanamke kwao ni choka mbaya halafu anamdisi men mwenye uwezo kisa hana gari halafu bado anawaganda wanaume kama vile ni yatima.
Ni hayo ukimind mind makavu live . Zero IQ Mshana Jr waelimisheni Dada zenu kama Demiss
Note: Naongelea waliozaliwa kuanzia 1985
 
Unajua ukiwa wa hovyo obvious utakutana na wa hovyo wenzio ila ukiwa smart, trust me smart womes are out there waiting for smart husband...simply ndege wafananao huruka pamoja

Nenda Rwanda popote utakutana na unaofanana nao

Jichunguze ulipokwama ujirekebishe ili ukutane na aina ya mwanamke ambae sio hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahaha nilikuaa na mawazo hayo kabla nashukuru nipo zangu kiom nakitoto cha ireland....... mahusiano mazur ni yale mlioanza bila kukurupuka taratibu tu wanawake wanatofautiana ila ni wachache sana ukiwa tanzania kuwapata kwa sababu ya hali ilivyo kwa sasa... tulia tu utawapata
 
Tuliza ball, mpira pasi, kwa hivyo sisi kaka zako wote tume bugi meeeeeeeeeen, idiota.
tunatofautiana kama unaona wako poa basi weka ndani ujakatazwa ila naongelea akili zao ni za ovyo angalia wasanii wanye maendeleo makubwa Hawaoi Tanzania mfano diamond, ay, fidq, alikiba
 
Unajua ukiwa wa hovyo obvious utakutana na wa hovyo wenzio ila ukiwa smart, trust me smart womes are out there waiting for smart husband...simply ndege wafananao huruka pamoja

Nenda Rwanda popote utakutana na unaofanana nao

Jichunguze ulipokwama ujirekebishe ili ukutane na aina ya mwanamke ambae sio hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hao anaotaka kuwafuata nje ya TZ nao Wana **** Kama wengine """Ni BORA AAMUE KUOLEWA TU"""

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua ukiwa wa hovyo obvious utakutana na wa hovyo wenzio ila ukiwa smart, trust me smart womes are out there waiting for smart husband...simply ndege wafananao huruka pamoja

Nenda Rwanda popote utakutana na unaofanana nao

Jichunguze ulipokwama ujirekebishe ili ukutane na aina ya mwanamke ambae sio hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mada imefungwa kwa comment hii.
 
Back
Top Bottom