Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huyu jamaa mke wake alikuwa masomoni na alikuwa ameachiwa watoto watatu awalee, wawili kati yao ni chini ya miaka 5. Katika pita pita zake alikutana na dada mrembo, katika kumtongoza aliona...
20 Reactions
160 Replies
17K Views
NA ROMANA MALLYA Msichana yatima, mkazi wa mkoani Manyara, amefungiwa kwenye danguro kwa zaidi ya miaka 10 akinyanyaswa kingono, kuteswa na kuambukizwa Virusi Vya Ukimwi (VVU). Msichana huyo...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Naona kuna kashobo flani ameanza kuniletea na vsms vyake vya Ajabu Ajabu, Nimekuja kuuliza ili nisifanye mistake au kupata lawama nikimchakata Cc Zero IQ
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Boasting Being stingy Jealous Thinking they are the best Thinking they are truly loved They never learn from previous mistakes Cheaters Pls don crack over me! This is a personal opinion
8 Reactions
331 Replies
26K Views
Ewe dada mwenye shida ya kuolewa kimbia hapa! Mkaka nakufata wewe mwenye lengo la kuwa na mwenza njoo tuzungumze PM... sina vigezo mimi Tukiwaita humu hamtaki mkiitwa na Rwakatale mnakimbia Mob...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natumai wote tuko kwenye majukumu yetu ya kujenga Tanzania yetu. (Msitushangae wengine tulikuwa tunaijenga usiku side by side na wabomoaji Taifa) Navojua mimi hakuna kitu kizuri kama umefika home...
6 Reactions
52 Replies
49K Views
Rejea maada tajwa Hapo juu.Mimi ni kijana umri wa miaka kadhaa nipo tu mtaani mkoa mmoja hapa Tanzania.Siku ya Jumamosi iliyopita nilichukua dada poa mmoja nikamlipa then nikapiga bao moja na kwa...
6 Reactions
77 Replies
12K Views
Kama mwenzio ni kifaa na ana kazi nzuri,elimu kubwa hakikisha unatotolesha watoto wa kutosha,lasivyo ipo siku ya kusaga meno huko mbeleni.Kama wewe ni baharia halisi chukua huu ushauri,utakuja...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Natumai mu wazima wa afya,. Kama tunavyofahamu umuhimu wa maliwato kwa maisha ya binadamu,ili ubinadamu ukamilike huna budi kupata haja ndogo na kubwa na wote 'twajua usipopata hivyo vitu hata...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mwanaume anakutokea, dada nimekupenda kwanza unaangalia anaendesha gari gani. Wengine wale chokaz mbaya lakini mjini anajivunia sura ambayo ina support kubwa ya make up basi anaona hata kama...
17 Reactions
116 Replies
9K Views
Nina uhusiano na binti mwezi wa pili huu. Awali nilimuuliza kama yupo single akasema ndio sasa juzi ameniambia kuwa ana mume ila walitengana na huyo mwanaume ameenda kwao kuomba msamaha na yeye...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Mchepuko wangu huwa unapenda kutumia maneno haya 'uwe unaacha uroho wewe,kula taratibu...'Akishasema hivyo anasusa kabisa...inakuwa ni wewe unajipimia unavyotaka.Kwa hali hiyo wakuu atakuwa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuwa na bibie mzuri ni sawa na kula chakula kizuri kwa kutumia sahani safi ya udongo inayovutia,na kuwa na bibie wa kawaida ni sawa na kulia chakula kizuri kwenye sahani ya plastiki.Wengi...
0 Reactions
2 Replies
980 Views
https://chat.whatsapp.com/Cl7DhPnmxGBLr5zgsM31zd
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Za mwanzo wa weekend wakuu!!! Maisha ni watu na watu ni maisha..... Haya tushare pamoja mambo yanayotufanya tufurahie watu wetu wa karibu kabisa tulio nao..... Tuanze weekend fresh!!! Binafsi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi nakumbuka akiitwa Upendo wakati niko form one nilimsindikiza rafiki yangu aende kusex na demu wake gheto la jamaa kufika kule huyo demu kumbe akaja na mwenzake. Wote walikuwa la saba, basi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Husband wants divorce after wife 'lied' about birth control and got pregnant Sarah Carty,Yahoo Style UK 18 hours ago A man claims his wife lied to him about coming off her birth control. Photo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi sio mwandishi mzuri lakini naomba niende moja kwa moja kwa mada husika. Dhumuni naomba ushauri kwenu wakuu nini cha kufanya. Mimi nina umri wa miaka 24 (male) nimeanza kazi mwaka huu mwezi...
7 Reactions
31 Replies
5K Views
  • Closed
Wadau habari za asubuhi maana wengine tumeamka na mahangover! Niende moja kwa moja kwenye mada,kuna sista mmoja tunapiga nae kazi kwenye mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kwenye kampuni binafsi (ya...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Wakuu habari ya leo. Ni mwaka sasa tangu moyo wangu umemdondokea huyu binti mrembo,cheusi mangara mwenye figa ya kibanyu halisi. Na nmeona sasa iwe vyema kupanda levo ya juu na kumweka awe mke...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…