Mtoto wa binamu Nyama au sio Nyama

Mtoto wa binamu Nyama au sio Nyama

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Naona kuna kashobo flani ameanza kuniletea na vsms vyake vya Ajabu Ajabu,

Nimekuja kuuliza ili nisifanye mistake au kupata lawama nikimchakata

Cc Zero IQ
 
Binamu mwenyewe ruksa kwa baadhi ya watu sembuse mwanae;Ila inaonyesha hamna bond sana family yenu,mimi na binamu zangu tulivyo sidhan kama tunaweza kuwa na hayo mawazo maana tupo close sana ile kindugu na hata hatuitani binamu zaidi ya kaka au dada
 
Naona kuna kashobo flani ameanza kuniletea na vsms vyake vya Ajabu Ajabu,

Nimekuja kuuliza ili nisifanye mistake au kupata lawama nikimchakata

Cc Zero IQ
Wapogoro ndiyo zenu wewe mtombe tu
 
@ zero IQ kwenye ubora wake.... Anyway, binamu hatongozwi mkuu [emoji124]
 
Naona kuna kashobo flani ameanza kuniletea na vsms vyake vya Ajabu Ajabu,

Nimekuja kuuliza ili nisifanye mistake au kupata lawama nikimchakata

Cc Zero IQ
Kwa kabila letu sisi unaweza kuoa binamu , naweka msisitizo kuoa sio kumega, lakini mtoto wa binamu yako wauruhusiwi hata kidogo sababu huyo ni mwanao ni mtuto wako, lakini kwa kuoa binamu hakuna shida, kuhusu kuchakata ukidakwa sura yako itakua kama hiyo ya kwenye avatar yako.
 
Back
Top Bottom