Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nyie wa dada wa mie Mnasikia.. 👌 Kuna kitu wanawake wanaita kujishusha, wanasema usipojishusha basi utamkosa mwanaume. Nikweli mara nyingi mwanamke unatakiwa kujishusha lakini wanawake wengi...
1 Reactions
92 Replies
14K Views
Za leo jamani? Miezi kama miwili iliyopita nilikua kwenye mahusiano na mtu flani ambae kwa upande wangu namuona kama mkatili flani hivi. Kisa kilianza siku fulani ilikuwa jmosi kuna issue nilikua...
3 Reactions
54 Replies
9K Views
Habari wanajamvi, Kuna jamaa aliwahi kuniambia kuwa mpenzi wake aliwahi kumuambia (kipindi wanaanza uhusiano) kuwa mpenzi wake a zamani wake alimuambia kuwa kila akiwa naye madili yake yanatiki...
4 Reactions
110 Replies
17K Views
Mara kadhaa nimekuwa nikileta mada ya kuhusu mama watoto wangu ambae ni Islamic na wazazi wake wamekataa mtoto wao asibadili dini ili tuweza kuwa mume na mke mbele ya MUNGU kwa sababu Mimi ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
9 Reactions
210 Replies
23K Views
Kuna vitu ambavyo mwanaume au mwanamke haustaili kuvifanya ukiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi 1. Usimsaliti kimapenzi (Don't Cheat) 2. Usimlinganishe na mpenzi wako wa zamani (i.e kifedha...
3 Reactions
78 Replies
11K Views
I hope you're doing well. It's been so long I have not met you. I always want to come home to meet you but I'm afraid what if you will catch me unhappy You always worry about me everyday as I stay...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Siyo kwangu tu nimekutana na kauli za wanaume wengi kutopenda mwanamke wanao: 1. Pakaa make up 2.wenye kucha ndefu hasa za bandia. 3.Kope za bandia 4. Wanao ondoka nyusi za asili alafu kujichora...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
1. Mshike kiuno chake 2. Ongea nae 3. Changieni mawazo kwa pamoja, na siri zenu 4. Mpe jaketi lako au mkoti wako wakati upo nae 5. Mpige kiss taratibuuu 6. Mvute taratibu, mkumbatie,mweke...
8 Reactions
108 Replies
100K Views
Nawasalimuni nyote! Naomba ku declare interest kuwa nimeoa Baada ya hapo naomba niwakumbushe mambo ya muhimu mabinti wote mnaosaka ndoa kabla ya kwenda kulia makanisani au kwa waganga tambueni...
15 Reactions
48 Replies
8K Views
Ata kama unampenda kiasi gani jitahidi usimuonyeshe madhaifu yako kwake ambayo atafanya ayatumie kukuumiza , Wanawake ni viumbe wa Ajabu sana wanaweza kuamua kuchepuka na JUMA Kwa sababu tu baba...
32 Reactions
50 Replies
5K Views
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi, imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo Msabato, Lutheran etc, kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe...
8 Reactions
199 Replies
17K Views
Racism
0 Reactions
3 Replies
827 Views
"Ni swala la Muda tu,, hapa mwanzo mwazo watapendana ila huko mbeleni baada ya miaka kadhaaa utakuja kujionea " "Pia usitegemee dada zako kumpenda wifi yao" "Vile vile mkeo naye hatawapenda Wifi...
79 Reactions
615 Replies
42K Views
Nowdays Kumekuwa na nyuzi za wanaume wakilalamika kuwa hawawafikishi wapenzi wao kileleni na wengine wakiuliza namna ya kuwafikisha wapenzi wao kileleni. Kitu msichokijua ni kwamba wanawake...
28 Reactions
80 Replies
20K Views
Nimezaliwa miaka 40 iliyopita. I am looking for a woman to chat with and share life and world views, and to some extent enjoy this life. Bado niko single, hata kama she is married still we can...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Nitatuma meseji moja tu kwa wote. "BEBY TUACHANE TU" Atakayelipokea kwa mikoni miwili ntajua huyu kweli nilikuwa nampotezea muda wake na alikuwa hanipendi. Ama atakayetaka kujua sababu au...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…