Seeking a woman to chat with.

Seeking a woman to chat with.

mpwakimeo

Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
91
Reaction score
60
Nimezaliwa miaka 40 iliyopita. I am looking for a woman to chat with and share life and world views, and to some extent enjoy this life. Bado niko single, hata kama she is married still we can chat. Life is full of suprises. You are welcome.
 
Hello toka 2014 upo lonely tu, una tatizo gani? Au ni style yako ya kutafuta k mteremko?
2014 alikuwa na 39 yrs
2019 ana 40 yrs....

Bongo nyoso [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
2014 alikuwa na 39.
2019 ana 40.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hello toka 2014 upo lonely tu, una tatizo gani? Au ni style yako ya kutafuta k mteremko?
 
Wamekufuma mkuu kuhusiana na umri wako,Mkuu hivi kwa jinsi unavyoona wewe na umri wako huo unadhani ni nini kimepelekea ukawa single kwa muda mrefu?
 
😂 😂 😂 kweli wewe mpwa kimeo, naona unatafuta binamu kimeo 😎
 
Baharia aliyefika omega [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamekufuma mkuu kuhusiana na umri wako,Mkuu hivi kwa jinsi unavyoona wewe na umri wako huo unadhani ni nini kimepelekea ukawa single kwa muda mrefu?
Siyo kama wamenifuma mkuu. Mimi ni mwanachama wa sikunyingi Jf. Haya yote nilijua yatatokea tu. Ningeweza ku-regist ID mpya na kutuma hii post. Lakini dhamira yangu ilisema hapana. Nikawa tayari kwa yanayojitokeza. Kuhusu umri, nikiri hata ile 39 si kweli. Nilikadiria aina ya marafiki nonaopenda, nikaweka umri huo. Atakayekuja inbox atajua umri wangu, ataamuwa.
 
Inawezekana ukawa na miaka 60 eti? Sasa wewe unaonekana ni mzee utuambie akaunt bank inasomaje?
Chukulia Klyn na Mengi...

Back
Top Bottom