Mm ninamahusiano na mtu kwa miaka kadhaa sasa!! Kuna wakat alinidukua watsap nikajua nikamtoa!!! Saiv nikiwasiliana na mtu kwa normal call. Lazima anakuja nifikishia ujumbe au kuongea maneno...
Amani iwe nanyi,
MIAKA 27 NA KWENDA JUU ni miaka yenye changamoto sana kwa wanawake, kwani katika miaka hii wanawake wengi wasipoolewa hujikuta wakiwa na pupa na mahusiano na matokeo yake kugeuka...
Ilikua ni asubuhi, alifungua macho yake taratibu.
Akanyosha mkono kumgusa mkewe. Hakukuwa na mtu. Mkewe alikua ameshaamka.
Akamsikia kwa mbali mkewe akiimba wimbo huu...
Wakuu bwana yesu asifiwe.
Kama heading inavyosoma wacha niende direct kwa topic. Jaman kuna wanawake wavumilivu sana kwenye mahusiano mnaosema wanawake hawa wamepotea hawapo nawapinga huyu shem...
Habari zenu waheshimiwa wote mliopo humu JF. Bila kupoteza muda naanza na mada straight. Kama ilivyo ada au desturi yetu waswahili tunapokutana popote nje ya mipaka yetu huwa tunaishi ki undugu...
Salaam wakuu? Maisha magumu si utani na kwa wale wenye afueni Mshukuruni Mungu kwa sana msikufuru.
Nimekuwa nikifikiria sana ni kwanini sisi wanaume hasa vijana kupata maendeleo ya kiuchumi ni...
*DALILI KWAMBA MKEO HARIDHIKI NA UTENDAJI WAKO WA KITANDANI*
...... _Tendo bora la ndoa linatakiwa kuandamana na uwezo wa mawasiliano yaliyo wazi na bila soni. Lakini, ukiwa miongoni mwa wale...
Amani iwe nanyi wadada wote msioolewa
Yamkini nayanena haya kama sehemu ya mwanajamii katika kufikisha ujumbe kwenu.Miaka inazidi kwenda na umri nao unazidi kutaradadi wimbi la wadada linazidi...
Yeyote anaekupa pressure na kukuongopea kwamba NDOA ndio kilele cha furaha kwa mwanamke ni kwamba anakudanganya..NDOA sio Ultimate happiness kwa mwanamke.
My Black sister hauhitaji mpaka NDOA...
Don't confuse the lenght of a relationship with the Strength of a relationship. "Godbless Lema"
Jamani kwa wale wenye wake zao halali, TUWAPENDE WAKE ZENU JAMANI HAWA NDIO MARAFIKI ZENUU...
Habari za Jumapili Wadau
Niko kwenye Ndoa karibia mwaka mmoja sasa, Mke wangu ni mwajiriwa wa sekta binafsi na mimi niko serikalini, hivi karibuni nimehamishiwa Dodoma kikazi mke wangu yuko Mwanza...
Jamani hiki ninacho enda kushea na nyie ni true story.
Nikiwa mwaka wa Pili chuo nilipata girlfriend ila alinizidi mwaka mmoja. Baada ya kama miezi kadhaa tukavurugana basi bana tukawa kama...
Niingie kwenye mada tajwa.
Nahitaji mke mwema.
Sifa za nimtakaye
Awe mwaminifu mwenye nia ya kweli, aliyemaliza mambo ya ujana, aliyetayari na mwenye shauku ya kuanza familia.
Umri 26-35...
Niaje wana zengo???
Nimepitia mahusiano kadhaa.Lakini katika katika pitapita zangu kuna baadhi ya wanawake natokea kuwa feel sana.Natia nia ya kudumu nao hata kuoa.Sioni sababu ya kudanganya...
Mtu anaweza kudhani ni story ya kutunga la la hasha, sina faida kwenye hilo, hiki ni kitu kinatokea kwa mara ya tatu Leo... Mida ileile
Baada ya kuota tena Leo, nimesita mno kuweka hili bandiko...
Mke wangu ni mama wa nyumbani ila haeleweki kawa jeuri, ni mtu wa matusi, hajui watoto wanakula nini. Mudacwote yuko busy na simu na mara nyingi anakuwa nyumba ya jirani.
Sasa binti yangu wa kazi...