Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,709
Jamani hiki ninacho enda kushea na nyie ni true story.
Nikiwa mwaka wa Pili chuo nilipata girlfriend ila alinizidi mwaka mmoja. Baada ya kama miezi kadhaa tukavurugana basi bana tukawa kama tumeachana kifupi mambo yangu hayakwenda kabisa nilikonda nikaisha cha ajabu nae hivo hivo alikonda hadi kinyaa. Kifupi tulibaki vichwa tu ila cha ajabu zaidi nilijishusha na kutaka kuweka mambo sawa akawa hataki kabisa.
Kila nikijaribu kuongea nae haelewi lkn anaumia pia nilipo kuja kuchunguza kumbe ilikua ni ule ubishi tu kutaka kuonekana yupo juu na hawezi kusumbuliwa na mwanaume kama ilivyo kwa wanawake wengi leo hii alafu ukiangalia mm nipo chini yake ndio kabisaa alikaza.
Muda ukaenda nikapona yeye ndio alikua anamalizia maproject ya kumaliza chuo. Nikapata mwanamke mwingine toka chuo kingine jirani nikajikuta nampenda nae akanipenda ila uongo mbaya kila nilipo onana na yule wa kwanza moyo ulistuka nakuingiwa na kahali flan hivi ka kupoa ilikua hata nikiona au kumbuka chochote chake napoa basi bana nikakaza.
Penzi la Pili lilinoga Ile mbaya basi Ile kuoshana oshana mara mimba, nikamuuliza tunafanyaje mama akajibu hii mimba za ya kuzaa hakuna kingine nikasema poa basi bana na iwe hivyo. Hapo tupo mwaka wa mwisho semester ya kwanza mwishoni. Kwa bahati nzuri yule wa kwanza akawa amepata kazi na akajirudidisha tena kwangu nikamueleza kila kitu juu yangu na kumuambia pamoja na yote hayo sipo tayari kumuumiza mtu akasema sawa ninacho taka toka kwako ni Muda wako tu sina kingine nikasema sawa kwa sababu kamoyo kalikuwepo bado.
Basi bana tukala tunda la mema na ujuzi, bwana wee si akajaa nae...! Nikamuuliza tunafanyaje sasa akajibu we koma unataka kuniulia mwanangu....? Nikujibu sijamaanjsha hivo kiutu uzima nikawa nimeelewa na hivyo basi nikamfata yule mwingine nikamueleza kila kitu na kumuomba msamaha huku vchozi vya kizushi vikitiririka nae nikaona vinalenga lenga akasema usijari Miles nayajua mapenzi lkn vipi mstakabali wetu nikamjibu hatuachani.... Akauliza vipi kuhusu J nikamjibu hana hiana.... Akauliza kweli nikamjibu ndio.
Basi bwana nikawakutanisha zaidi ya kuchekeana na kuangua vicheko vile vya furaha hadi nikaanza kuogopa najiuliza Kuna nn hapa wakatambulishana na kubadilishana mawasiliano ya kila media unayo ijua ww basi ikawa hivyo. Maisha yakaendelea.
Wakati huo nyumbani kulikuaga na mwanamke namzimia kichizi (crush wangu) ila alinichomoleaga nje basi bana juzi juzi tu akajilengesha nikapiga chini akajaa juu na nikamueleza kila kitu alilia akasema kwa nn sikumuambia... Sikumjubu kitu tukawa tumeagana.
Nikaenda nikawakusanya wale wawili nikawaeleza jaman mme wenu nimezua balaa wakaniuliza balaa gani basi na vimachozi vya kizushi nikawaeleza kila kitu... Waka Waka sana full kunizodoa... Eti oooh wanaume mpewe nn mrizike maneno mengi vichambo kama vyote.... Nikawauliza tatizo ni nini....? Ni huyo kiumbe.....? Kawakosea nn malaika jmn.....? Acheni roho mbaya na za kimasikini. Wakatulia huku tu wakisema lkn ulicho kifanya sio poa... Basi bwana wakasema yuko wapi huyo huyo mwanamke mwenyewe nikawakutanisha wakampokea vizuri tu. Kama kawaida wanawake na viparty wakafanya party wenyewe huku majirani wakijua labda wanafanya birthday party kumbe wenzao wanafanya happy Union day hahahahahahah.
Tukalala wote wanne basi asubuhi wanajifanya kunifunda wenyewe basi bana ndio hivo kidume nikajifanya nimefundika wakasema wapo tayari kushirikiana kwa dhati hawa wawili wa mwanzo ni waajiriwa huyu mmoja alikua anauza hardware ya mjomba wake ila akikwama katika mishe zake wale wawili wanampiga tafu tu vizuri kama ndugu.
Mimi ni mkristo ila wananishawishi tuwe waisilam niwaoe wote..... Ndio hivo bana nimetokea kuwa penda na sana na kuwa unganisha sana kwa sababu wanawake wenyewe kwa wenyewe wanaasili ya kuto pendana. Hivyo mm kama mme wao ni Jukumu langu kuhakikisha wapo sawa.... Na cha ajabu hakuna ninacho wapa zaidi ya mapenzi na story za hapa na pale kuwa simamia katika mambo yao yanayo hitaji uwepo wa mwanaume. Jaman wanawake ni watoto ukijua kuwalea vizuri wala hawana tatizo hasa ukiwajua.
Wanawake zangu kama mpo humu jueni nawapenda sana. Na kama ninavyo wasia kila siku umoja wetu ndio nguvu yetu pendaneni. Nawapenda sana
True Story