Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za jioni nimekuwa kwenye ndoa yangu yenye miaka 2 lakini miezi ya ivi karibuni mke wangu amekuwa akichelewa sana kurudi nyumbani akidai anaenda kwenye maombi kila siku mara baada ya kazi...
12 Reactions
69 Replies
2K Views
Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu. Ndugu zangu mimi ni mwanaume, miaka 40 natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume ili kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufunga ndoa na kujenga familia bora...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
💘 Habari: Simu ya Mapenzi Juma na Asha walipendana sana, lakini walikuwa na tatizo moja — wote walipenda simu zao kuliko kila kitu! Kila wakikutana, badala ya kuangaliana machoni, walikuwa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Putting it mildly.... Is it selfish for a mother to prioritize financial security over romantic love? or is it heroic and self sacrifice for the benefit of her kids "Materialist or Martyr? A...
2 Reactions
31 Replies
960 Views
Tukiwa tunajiandaa na maandamano siku ya kesho nimeona niyatoe ya moyoni maana sina pa kuyatolea Nimekuwa na mahusiano ni kijana mmoja wa kawaida tu hawa wadada tunawaita sura personal maana...
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Hakuna sehemu ambayo mwanamke huwa dhaifu kama kwenye mambo ya imani, kama mkeo kazama kwenye mambo haya kuwa makini Waganga wa kienyeji Watabibu wa kusoma visomo na dua. Wachungaji wa makanisa...
8 Reactions
8 Replies
697 Views
Jina : Zuu( sio jina lake halisi) Age : Miaka 18 Mwaka wa kuzaliwa : 2006. Elimu: Form 4 failure mwaka 2023. Mahali kinapoishi: Ilala Rural ( Uswazi zinapo trend ngoma za singeli. Kila nyumba...
29 Reactions
148 Replies
8K Views
Miaka kadhaa iliyopita, niliuguza kidonda cha kung'atwa, leo aliyening'ata nimekutana naye kanisani tukataniana kuhusu lile tukio. Acha niwape kisomo kidogo na niwakumbushe namna ya kufurahishana...
12 Reactions
106 Replies
3K Views
Tukiwa tayari tumezaa wote watoto wawili wa kiume uchumi wangu ulidorora hali iliyo leta mgogoro ambao baadae ulipelekea kuachana. Watoto nilibaki nao Mimi nikawapeleka kwa mama yangu mzazi...
74 Reactions
124 Replies
9K Views
Guys, achana na story kwamba mimi ndio yule mtz aliyewauza watz, haihusiki na mimi, nilichangamsha genge. Nilirudi Tz ili nipate mrembo wa kwenda naye duniani, nikarudi mrembo akazingua nikaona...
3 Reactions
15 Replies
765 Views
Naileta kama nilivyoombwa[emoji116] JAMANI INAUMA SANA WANAWAKE TUPENDANE[emoji24][emoji24][emoji24] Judy Mimi nina uchungu sana kwenye moyo wangu naumia mno [emoji24] Mimi ni mdada tu nina...
13 Reactions
72 Replies
10K Views
Hawa vijana wenye kupenda vitu vya bwerere. Mtu Ukikaza fresh. Ukamtafutia simu Kali na ikawa unamtoa pesa za bundle na misosi na tungi, mbona unawamaliza wote huko kitaa au vyuoni. Take care guys
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo. Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna...
32 Reactions
370 Replies
13K Views
Wakuu habari zenu, Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine . Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife...
19 Reactions
169 Replies
9K Views
Kwa upande wangu napenda kuangalia movie,naoga,kama mke wangu atahtaji huduma nitampa Kisha nalala,huu ndio utaratibu wangu wa Kila siku kabla ya kalala, Mdau,utaratibu wako ni upi before...
5 Reactions
33 Replies
879 Views
Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+. Mwamba alianza ku...
16 Reactions
104 Replies
6K Views
Kwa jinsi siasa za nchi hii sinavyoenda, mwakani patakua na njaa kuu, wanawake watapatikana kwa bei chee sana maana hata hela ya kula itawasumbua sanaaaaa. Yani mwakani kwa njaa itakayokuepo...
2 Reactions
11 Replies
544 Views
Habari zenu Wakubwa! Mimi ni kijana niliyefikia umri wa kutaka kuoa Sasa,nimempenda mdada ndani ya muda mfupi na anaonekana ana sifa zote kabisaa. Kwa mliokwishaoa,Kwa uzoefu wenu ni kipindi Cha...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Sisi tumetumia kifo cha mende. Nyie je?
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu, habari za weekend? Usiku wa kuamkia leo mke wangu kanijia na style mpya ya kudinyana ambayo mimi siijui na sijawahi kumuona akiitumia tangu tujuane huu mwaka wa 7. Kikawaida sisi huwa...
28 Reactions
76 Replies
7K Views
Back
Top Bottom