Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanandoa, acheni mazoea kwenye tendo la ndoa. Peaneni kila utamu unaostahili. Kuna katabia fulani ambacho ni kibaya sana kwa wanandoa, na ndicho kinachoharibu pia mahusiano mazuri kwenye ndoa —...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka yani nilikua narusha diko mbwa haruki. Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona, yaani...
32 Reactions
128 Replies
5K Views
Nauliza tu Ili nijue kama niachane na huyu mke niliyemuoa miaka 12 iliyopita au nivumilie tu mateso ya kujichubua, dalili za kuchepuka na uvaaji wa madela yanayoonyesha mwili Ushauri wenu tafadhali.
5 Reactions
32 Replies
978 Views
Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
11 Reactions
78 Replies
2K Views
Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela. Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama...
23 Reactions
88 Replies
2K Views
Nahtaji mke wa maisha yangu age 28 nipo na nia kama upo 0652359199 awe mkiristo tuheshimiane Awe uelewa juu ya maisha akiwa na mtoto mmoja siyo mbaya
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari nilikuwa nauliza wadada kwanini wanatunyima unnyumba akati ni haki yetu wanaume.
3 Reactions
28 Replies
999 Views
Haya wanaume vitu vinavyotukera kwa wadada shusha apo chini HAY MI KINACHONIKERA KWA WADADA NI KUVAA MIWANI.
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Hiki ni kisa cha kweli jamaa ana pisi yake Kali mtoto kamaliza form four mwaka jana tu miaka 18 mchizi wa miaka 25+ ila hajawahi pewa unyevu ni MIEZI 6 anajiuliza je ni kweli hapo kuna mapenzi au...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu, Mungu aliumba watu wawili wawili waweze kuishi na kufanya maisha pamoja ikitokea mtu yupo peke yake kiasili kuna kitu utakiona hakipo sawa, hautakua na furaha ile inayotakiwa...
40 Reactions
154 Replies
6K Views
Tofauti kati ya umri wako na mpenzi wako ni miaka mingapi ?? Kwangu ni miaka 6 nimemzidi mpenzi wangu , nina 22 yeye 16 Sijui wewe,,.....
16 Reactions
170 Replies
5K Views
https://www.tiktok.com/@mamab_oficial/video/7558468367993130296 Hebu someni hizi comments jinsi wanavyopotoshana,
8 Reactions
57 Replies
1K Views
👩‍❤️‍👨Achana na wake za watu. Hauwezi vumilia maumivu ya consquences zake. 🚗Ukinunua gari hakikisha una uhakika wa kurudisha hicho kiasi cha bei ya gari kirahisi. 🍑Kama demu ni mwenye matako...
10 Reactions
29 Replies
1K Views
Najua moja ya comment itakuwa ni kutoka kwa Mallerina ananiambia "tafuta hela wewe friji halizimwi"🤣 Anyway, Kama hauna pesa ya uhakika na unashi mzizima usijuhishishe na tasnia ya mapenzi yale...
7 Reactions
11 Replies
890 Views
Kama video inavyoliezea ila ingawa ni Igizo
1 Reactions
6 Replies
459 Views
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
40 Reactions
820 Replies
27K Views
Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga. Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia. Kufikia Leo Fredi ana...
18 Reactions
169 Replies
14K Views
Imezoeleka familia ikiwa tajiri basi ni baba, na je? mwanamke anawezaje? kusababisha umasikini ndani ya familia? Naongea hivo kwasababu mm nikipanga malengo ila kila ukizuka ugomvi mipango yote...
3 Reactions
9 Replies
498 Views
Back
Top Bottom