Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Pole kwa watanzania wenzangu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki katika kipindi hiki kigumu.
Ni huzuni, huzuni, huzuni ilioje vilio na simanzi. Mambo...
Wakuu
Kwa mujibu wa Smart911 yeye anasema mapenzi huwa hayana mwongozo,ni kweli lakini haya mapenzi yangu huenda yana mwongozo kabisa.
Nilioa miezi mitatu iliyopita,ila kama wiki mbili zilizopita...
Ciao,
Zamani nilikua nachukulia kawaida ila kwa sasa naona kama lishakua tatizo kubwa ambalo sijui namna ya kulitatua.
Kuna muda nakua na stress sana ila nakosa mtu wa kushare nae mambo yangu...
Habari wanajr
Nilikuwa na mahusiano na huyu manzi almost miaka 3. Sasa huyu demu alikuja kunitamkia kuwa niachane naye, hataki kuendelea na mahusiano na mimi, na akanitajia sababu zilizomfanya...
Mimi ni mwanaume nina miaka 27 kwa sasa. Natafuta mwanamke wa kumuoa nimweke ndani kabisa niwe mumewe naye awe mke wangu.
Sina elimu kubwa ila najua kusoma na kuandika.
Nimepanga geto nalipa kodi...
Habari za jioni nimekuwa kwenye ndoa yangu yenye miaka 2 lakini miezi ya ivi karibuni mke wangu amekuwa akichelewa sana kurudi nyumbani akidai anaenda kwenye maombi kila siku mara baada ya kazi...
Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu.
Ndugu zangu mimi ni mwanaume, miaka 40 natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume ili kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufunga ndoa na kujenga familia bora...
💘 Habari: Simu ya Mapenzi
Juma na Asha walipendana sana, lakini walikuwa na tatizo moja — wote walipenda simu zao kuliko kila kitu!
Kila wakikutana, badala ya kuangaliana machoni, walikuwa...
Putting it mildly....
Is it selfish for a mother to prioritize financial security over romantic love? or is it heroic and self sacrifice for the benefit of her kids
"Materialist or Martyr? A...
Tukiwa tunajiandaa na maandamano siku ya kesho nimeona niyatoe ya moyoni maana sina pa kuyatolea
Nimekuwa na mahusiano ni kijana mmoja wa kawaida tu hawa wadada tunawaita sura personal maana...
Hakuna sehemu ambayo mwanamke huwa dhaifu kama kwenye mambo ya imani, kama mkeo kazama kwenye mambo haya kuwa makini
Waganga wa kienyeji
Watabibu wa kusoma visomo na dua.
Wachungaji wa makanisa...
Jina : Zuu( sio jina lake halisi)
Age : Miaka 18
Mwaka wa kuzaliwa : 2006.
Elimu: Form 4 failure mwaka 2023.
Mahali kinapoishi: Ilala Rural ( Uswazi zinapo trend ngoma za singeli. Kila nyumba...
Miaka kadhaa iliyopita, niliuguza kidonda cha kung'atwa, leo aliyening'ata nimekutana naye kanisani tukataniana kuhusu lile tukio. Acha niwape kisomo kidogo na niwakumbushe namna ya kufurahishana...
Tukiwa tayari tumezaa wote watoto wawili wa kiume uchumi wangu ulidorora hali iliyo leta mgogoro ambao baadae ulipelekea kuachana. Watoto nilibaki nao Mimi nikawapeleka kwa mama yangu mzazi...
Guys, achana na story kwamba mimi ndio yule mtz aliyewauza watz, haihusiki na mimi, nilichangamsha genge. Nilirudi Tz ili nipate mrembo wa kwenda naye duniani, nikarudi mrembo akazingua nikaona...
Naileta kama nilivyoombwa[emoji116]
JAMANI INAUMA SANA WANAWAKE TUPENDANE[emoji24][emoji24][emoji24]
Judy Mimi nina uchungu sana kwenye moyo wangu naumia mno [emoji24]
Mimi ni mdada tu nina...
Hawa vijana wenye kupenda vitu vya bwerere. Mtu Ukikaza fresh. Ukamtafutia simu Kali na ikawa unamtoa pesa za bundle na misosi na tungi, mbona unawamaliza wote huko kitaa au vyuoni. Take care guys
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.