Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habari zenu, Moderators naomba msiunganishe huu Uzi na nyuzi zingine . Nilikuwa na mahusiano na narcissist kwa muda wa miezi mitatu ila nimekoma kwa kweliii imebaki kidogo nife...
19 Reactions
169 Replies
9K Views
Kwa upande wangu napenda kuangalia movie,naoga,kama mke wangu atahtaji huduma nitampa Kisha nalala,huu ndio utaratibu wangu wa Kila siku kabla ya kalala, Mdau,utaratibu wako ni upi before...
5 Reactions
33 Replies
879 Views
Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+. Mwamba alianza ku...
16 Reactions
104 Replies
6K Views
Kwa jinsi siasa za nchi hii sinavyoenda, mwakani patakua na njaa kuu, wanawake watapatikana kwa bei chee sana maana hata hela ya kula itawasumbua sanaaaaa. Yani mwakani kwa njaa itakayokuepo...
2 Reactions
11 Replies
544 Views
Habari zenu Wakubwa! Mimi ni kijana niliyefikia umri wa kutaka kuoa Sasa,nimempenda mdada ndani ya muda mfupi na anaonekana ana sifa zote kabisaa. Kwa mliokwishaoa,Kwa uzoefu wenu ni kipindi Cha...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Sisi tumetumia kifo cha mende. Nyie je?
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu, habari za weekend? Usiku wa kuamkia leo mke wangu kanijia na style mpya ya kudinyana ambayo mimi siijui na sijawahi kumuona akiitumia tangu tujuane huu mwaka wa 7. Kikawaida sisi huwa...
28 Reactions
76 Replies
7K Views
Nimekuja tena kwenu wahenga naombeni msaada wenu nipo katika wakati mgumu sana kuna jambo linanitatiza na kunifikirisha sana kipi niamue nipo kwenye wakati mgumu sana ipo hivi Mimi ni kijana...
20 Reactions
168 Replies
8K Views
Wanawake wengi utakuta husema kuwa wanataka kuwa na mwanaume mzuri lakini endapo atatokea huyo mwanaume mzuri wanakimbia katika muelekeo mbadala. Kwahiyo kuna nini kimejificha hapa katika akili...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Rafiki yangu yupo kwenye penzi zito juzi ndiyo ananiambia MIEZI 6 mwanamke hawajawahi kusex anamwambia awe na SUBRA hapo Kuna mapenzi kweli au maigizo?
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana jf Nimeona bora kuwa mkweli uenda nikapata mitizamo itakayo nijenga juu ya swala hili zima la mahusiano ya kimapenzi.. nina umri wa miaka 30 , mpaka namaliza elimu ya...
9 Reactions
25 Replies
980 Views
Habari Wana JF Mimi nikijana wa miaka 28 nimuda Sasa najihisi kua sio binadam aliekamilika. Nina changamoto yakukosa upendo wa kimahusiano na mwanamke, Yani naweza nikawa kwenye mahusiano lakin...
12 Reactions
125 Replies
4K Views
Usihitaji kujua kwanini hii nyuzi imeshuka asubuhi asubuhi. Kama unazifahamu njia za kiasili ambazo siyo dawa za viagra, share hapa kwa manufaa ya wengi. Asante!
16 Reactions
105 Replies
5K Views
"I'm sorry, Kuna msichana alikuwa na mahusiano na rafiki yangu kwa muda wa miaka kama mitatu hivi hadi sasa. Lakini wiki tatu nyuma katika hali ya kutaniana nikamtongoza. Kiutaniutani akakubali...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Hiyo miaka hapo ukicheza vibaya basi kimekulamba. Unakutana na mabinti wazuri kila idara rika la miaka 29 na 30 Ila wanakesha kanisani kuomba waume Sasa unajiuliza alipokuwa na miaka 22 (Yupo...
15 Reactions
129 Replies
4K Views
Wakuu, Unakumbuka siku ambayo uliingia rasmi katika dunia ya utamu? Dunia ya kunyandua au kunyanduliwa? Nani alikuingiza huko,je ulihisi nini wakati unanyanduliwa/unanyandua? Wazo la kwanza...
16 Reactions
139 Replies
8K Views
Wakuu, Hofu ilikuwa imetanda ktk maisha yangu ,kila nikikutana na dada wa watu naishia dk 10 namaliza na matokeo yake ananiambia nimemchafua Hakika nilidhani Nina upungufu wa nguvu za...
11 Reactions
56 Replies
3K Views
Wanandoa, acheni mazoea kwenye tendo la ndoa. Peaneni kila utamu unaostahili. Kuna katabia fulani ambacho ni kibaya sana kwa wanandoa, na ndicho kinachoharibu pia mahusiano mazuri kwenye ndoa —...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka yani nilikua narusha diko mbwa haruki. Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona, yaani...
32 Reactions
128 Replies
5K Views
Back
Top Bottom