Dhana potofu yenye roho mbaya ndani yake

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,392
Reaction score
1,418
Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka kuna hii dhana ya "MCHUMBA HASOMESHWI" hii ni dhana potofu na inabidi ikemewe vilivo.

Naanza, kumpenda mwanamke au msichana yeyote ambae una matarajio ya kumuoa kuna matokeo ya aina mbili, kukubaliwe ndoa au kukataliwa hatunaga draw huu sio mpira.

Either umemsomesha wewe au hujamsomesha, na wapo wanaume wengi ambao wamewasomesha wachumba zao na wanaishi nao na mifano iliyo hai ninayo pia, na wengne huwabadilishia fani, baada ya kuona fani aliyonayo haimfai

Tena wengine zaidi hata ya milioni wakati ukute dem mwenyewe kaishia 4m 4, na alikua na uwezo wa kumsomesha ata ka cheti ka lak 7 kwa mwaka, kumsomesha sio mwanzo wa kuuana, hio ni mifano mfu, achana na mifano negative.

Kumsomesha msichana sio guarantee ya kukubaliwa ndoa, jijenge kiakili, kwamba ipo siku tutaachana, yawezekana ata kipindi unae na wewe pia ulikua unamcheat, hio sote ni wanadamu, na ayo mambo tunafanya sisi tusipofanya nani atafanya.

Haya mambo ya kutokukubali matokeo, ndo mwanzo wa kulana shaba,ila wapo walio kataliwa na wanadunda.

Maoni yangu, ukiona binti, mazingira ya kwao ni magumu sana, na wewe kidogo uwezo huo unao wa kumuendeleza ata kidogo, muendeleze, ila kichwani jipange kisaikolojia huyo sio robot ni mtu na anatongozwa kama ulivotongoza wewe, hivyo basi jua lolote linaweza kutokea, na kutoa si utajiri, Duniani tunapita yawezekana ukimsaidia yeye umesaidia familia yake yote, ata mkiachana usinungu'nike achilia rehema na baraka vimiminike achana na misemo, potofu
 
Narudia tena kwa Sauti kubwa "MCHUMBA HASOMESHWI"
mabaharia hapo nyuma nafikiri menipata fresh.
Kwa sauti hii watakuwa wamesikia.
FB_IMG_1571742033519.jpeg
 
Acheni roho mbaya, ndo maana mnakua na vinyongo
 
mapenzi ni kaa la moto pindi mambo yakienda mrama, ni vigumu sana kujua unachukua maamuzi gani katika mazingira tata na chechefu. kifua cha kubeba hayo tunatofautiana,....... unamkumbuka mzee wa tiba mbadala NDODI?
aliwahi kusema nguruwe dume ndio mnyama pekee jike analoishi nalo linaweza pandwa naye anakula majani.

ni vema tuwe makini hatua ya awali tusitumie pesa kumteka, maana kama ulimkuta analia kakosa ada ukatumia fursa hiyo ni kupiga tu lkn mkiahidiana kuoana ina maana wewe umeweka moyo kwenye makubaliano na mwenzako kaweka shida zake.

na siku zote mshindi aliyeweka shida zake, ni vile kama kuwaza kwa kutumia hisia na mwenzake mind.

risasi hazitokoma, hivi tupo kwenye huu uzi kuna pendo changa uko keshatuma tuition fees and accomodation[emoji23][emoji23][emoji23] wonder shall never end
 
Hivi Unajua Maana Ya Neno "Mkataba" (Makubaliano)?.
 
somesheni watu, kubaliana na matokeo acheni dhana potofu
mapenzi ni kaa la moto pindi mambo yakienda mrama, ni vigumu sana kujua unachukua maamuzi gani katika mazingira tata na chechefu. kifua cha kubeba hayo tunatofautiana,....... unamkumbuka mzee wa tiba mbadala NDODI?
aliwahi kusema nguruwe dume ndio mnyama pekee jike analoishi nalo linaweza pandwa naye anakula majani.

ni vema tuwe makini hatua ya awali tusitumie pesa kumteka, maana kama ulimkuta analia kakosa ada ukatumia fursa hiyo ni kupiga tu lkn mkiahidiana kuoana ina maana wewe umeweka moyo kwenye makubaliano na mwenzako kaweka shida zake.

na siku zote mshindi aliyeweka shida zake, ni vile kama kuwaza kwa kutumia hisia na mwenzake mind.

risasi hazitokoma, hivi tupo kwenye huu uzi kuna pendo changa uko keshatuma tuition fees and accomodation[emoji23][emoji23][emoji23] wonder shall never end
 
Utafti uliokamilika hivi karibuni ni kuwa moyo wa nguruwe utaweza kuwa mbadala wa moyo wa binadamu, yaan moyo wa binadamu ukiwa na itilafu unatolewa unawekewa wa nguruwe maisha yanasonga kamakawaida na ni nguruwe tu asiye kuwa na wivu wa mapenzi katika wanyama wote.Mwenzetu nafikiri ulishapandikizwa moyo wa nguruwe.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapana ni binadamu kabisa ila inabidi ukubaliane na matokeo, sa nijiue kisa kanikataa, alafu mm sjawai kuumia kiivo, ata saivi dem nilie nae najua ana mtu japo anaisi sijui niltamani kumuoa ila saivi siwezi tena nmedukua simu yake, ata leo anakuja na ni normal kabisa ila ana michepuko ka mitatu, bora ata angekua nao mmoja ni mingi anayo na bado naishi na sjaonesha hali ya kuchukia na tunacheka, tunakula na maisha yanasonga ila tiari siku zake zinahesabika
 
Kama nina uwezo ni bora nisomeshe mke ambaye najua nimezaa nae, kuliko kusomesha mchumba
 
Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka kuna hii dhana ya "MCHUMBA HASOMESHWI" hii ni dhana potofu na inabidi ikemewe vilivo.

Naanza, kumpenda mwanamke au msichana yeyote ambae una matarajio ya kumuoa kuna matokeo ya aina mbili, kukubaliwe ndoa au kukataliwa hatunaga draw huu sio mpira.

Either umemsomesha wewe au hujamsomesha, na wapo wanaume wengi ambao wamewasomesha wachumba zao na wanaishi nao na mifano iliyo hai ninayo pia, na wengne huwabadilishia fani, baada ya kuona fani aliyonayo haimfai

Tena wengine zaidi hata ya milioni wakati ukute dem mwenyewe kaishia 4m 4, na alikua na uwezo wa kumsomesha ata ka cheti ka lak 7 kwa mwaka, kumsomesha sio mwanzo wa kuuana, hio ni mifano mfu, achana na mifano negative.

Kumsomesha msichana sio guarantee ya kukubaliwa ndoa, jijenge kiakili, kwamba ipo siku tutaachana, yawezekana ata kipindi unae na wewe pia ulikua unamcheat, hio sote ni wanadamu, na ayo mambo tunafanya sisi tusipofanya nani atafanya.

Haya mambo ya kutokukubali matokeo, ndo mwanzo wa kulana shaba,ila wapo walio kataliwa na wanadunda.

Maoni yangu, ukiona binti, mazingira ya kwao ni magumu sana, na wewe kidogo uwezo huo unao wa kumuendeleza ata kidogo, muendeleze, ila kichwani jipange kisaikolojia huyo sio robot ni mtu na anatongozwa kama ulivotongoza wewe, hivyo basi jua lolote linaweza kutokea, na kutoa si utajiri, Duniani tunapita yawezekana ukimsaidia yeye umesaidia familia yake yote, ata mkiachana usinungu'nike achilia rehema na baraka vimiminike achana na misemo, potofu
Wewe unataka kesi ya Mauaji for sure Mchumba hasomeshwi kwa kweli. Unless unataka kupata kesi ya Mauaji.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapana ni binadamu kabisa ila inabidi ukubaliane na matokeo, sa nijiue kisa kanikataa, alafu mm sjawai kuumia kiivo, ata saivi dem nilie nae najua ana mtu japo anaisi sijui niltamani kumuoa ila saivi siwezi tena nmedukua simu yake, ata leo anakuja na ni normal kabisa ila ana michepuko ka mitatu, bora ata angekua nao mmoja ni mingi anayo na bado naishi na sjaonesha hali ya kuchukia na tunacheka, tunakula na maisha yanasonga ila tiari siku zake zinahesabika
Una moyo wa nguruwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom