Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
Wanaume tumeumbwa...matesooo...kuhangaika!
Nilipokuwa mdogo nilikuwa sijui maana ya huu wimbo, ila kwa sasa nimejua walichokimaanisha...kutokana na bili zinazokuja kutoka kwa hawa wapenzi wetu.
Hujakaa sawa unapata meseji mpenzi ninunulie hivi vitu, ukipiga mahesabu unakuta ni gharama kubwa. Pia hawaangalii kama muda huo uko vizuri kiuchumi au laa, ama kweli wanaume tumeumbwa mateso.