Huu ujinga acheni na muishie nao huko huko.Ameshapata Akili mwache aamue

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,467
23,754
Unamdate mwanamke kwa mapenzi yako unaamua kumsomesha,kumfungulia biashara.baadaye mnashindwana unamwua au kumjeruhi.

Huo ni upumbavu.kama unamsaidia msaidie tu siyo kutuletea misiba ya kipumbavu. Wakati unaamua kumsomesha au kumpa mtaji mlikuwa na makubaliano gani? Kuwa akija kukuacha utamwua?

Basi ni bora muwe mnaandikishana mikataba kabisa kuwa nakusomesha ukija niacha au ni cheat nakuua.naye aseme sawa.

otherwise msomeshe dada yako,kaka au wadogo zako,mzazi wako au mtu baki.hatutaki misiba ya kujitakia.umeamua asome acha asome afunguke akili. Kashafunguka kagundua humfai.why ulazimishe mapenzi?ameshapata akili mwache aamue anachotaka. Inawezekana haukuwa chaguoa sahihi.
 
Mama Aliniambia Mapema hivi;

"Huyo mwanamke unampenda?"
Nikajibu "Ndiyo"

Akasema "Usimpe hela" (alikuwa anasoma IRDP)

Nikaacha Mara moja.

Sikumuoa

Nina Amani

Ana Amani.
 
Kwanini hizo hisia zao zinaisha baada ya kuhitimu masomo yao?? Ikitokea mtu yuko sec year then akataka kuvunja mahusiano kwamba hakupendi tena unaweza kueleweka lakini haiwezekani ushapokea gamba ndo hisia ziishe kwa aliekusomesha piga shaba tu Mungu atakuelewa.
 
Hata wasiosomeshana wanaachana
Hata wapenzi wanachuo wanaachana baada ya chuo kuisha

Tukubali mapenzi huwa yana mwisho mda mwingine

Kuua sio suluhu
 
Kama Mwanaume unajua kabisa hauko tayari kwa mabadiliko baada ya kumsomesha Mwanamke acha kabisa kumsomesha.
 
Kwanini hizo hisia zao zinaisha baada ya kuhitimu masomo yao?? Ikitokea mtu yuko sec year then akataka kuvunja mahusiano kwamba hakupendi tena unaweza kueleweka lakini haiwezekani ushapokea gamba ndo hisia ziishe kwa aliekusomesha piga shaba tu Mungu atakuelewa.
Dadeq
 
Kusomesha mchumba ni kama kuweka nyama kwenye bucha la fisi.. halafu usipoikuta uwalaumu fisi kwa kuila.
 
Back
Top Bottom