Hivi hili suala la kuzini/ kutembea na wake za watu litakwisha kweli?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,439
2,921
Wengine bado hatujaoa, lakini tunayoyaona juu ya wake za watu yanatisha kwakweli kiasi kwamba tunajiuliza mara mbili mbili yuu ya kuingia katika hii tasnia (ndoa).

Ukisema kijana unajiepusha na uzinzi dhidi ya wake za watu, basi wenyewe watakutafuta kwa udi na uvumba. Na kwa mwanaume kama mimi mzee wa kasumba kwakweli sivumii kumuona mke wa mtu ana dalili zote za kutaka kugegedwa nami.

Nimeshuhudia (leo hii) nikiwa geto nimekaa, mpangaji mmoja wa kiume ambaye ni mpya hapa nyumbani akiingia ndani kwake na mke wa jamaa ambaye namfahamu kwa sura kabisaaa. Duh! nikasema kweli dunia ina mambo sana.

Nikavuta picha kama ni mke wangu hapo ndo nimesafiri labda au niko kazini halafu ananizunguka na mtu mwingine kweli jama...

Aisee nilikuwa na wazo la kuoa lakini naona matumaini yanazidi kufifia kunako akili yangu tukufu.

WITO:

1. Ndugu zangu mnaojishughulisha na ukataji wa mkaa ongezeni juhudi katika kazi yenu. Biashara yenu itazidi kukua na mtatoboa.
 
WITO:

1.
Ndugu zangu mnaojishughulisha na ukataji
wa mkaa ongezeni juhudi katika kazi yenu.
Biashara yenu itazidi kukua na mtatoboa.
 
Nafurahi kusikia waume za watu (wanaume waliofunga ndoa) ni "waaminifu " Wabarikiwe Sana Sana aminaaa.

Na wewe dogo usioe kamwe baki hivohivo kijana mwema.
 
Tatizo tamaa ndizo zinazowaponza watu, hawatulii katika ndoa zao...kutwa kuangaliana mapungufu tu ili mtu apate sababu ya kutoka nje ya ndoa yake...heshima kwao wanaoziheshimu ndoa zao..Mwnyz Mungu awabariki sana
 
Wengine bado hatujaoa, lakini tunayoyaona juu ya wake za watu yanatisha kwakweli kiasi kwamba tunajiuliza mara mbili mbili yuu ya kuingia katika hii tasnia (ndoa).

Ukisema kijana unajiepusha na uzinzi dhidi ya wake za watu, basi wenyewe watakutafuta kwa udi na uvumba. Na kwa mwanaume kama mimi mzee wa kasumba kwakweli sivumii kumuona mke wa mtu ana dalili zote za kutaka kugegedwa nami.

Nimeshuhudia (leo hii) nikiwa geto nimekaa, mpangaji mmoja wa kiume ambaye ni mpya hapa nyumbani akiingia ndani kwake na mke wa jamaa ambaye namfahamu kwa sura kabisaaa. Duh! nikasema kweli dunia ina mambo sana.

Nikavuta picha kama ni mke wangu hapo ndo nimesafiri labda au niko kazini halafu ananizunguka na mtu mwingine kweli jama...

Aisee nilikuwa na wazo la kuoa lakini naona matumaini yanazidi kufifia kunako akili yangu tukufu.

WITO:

1. Ndugu zangu mnaojishughulisha na ukataji wa mkaa ongezeni juhudi katika kazi yenu. Biashara yenu itazidi kukua na mtatoboa.
Hasa dodoma mkuu..wake za watu wanaliwa sana
 
haliwezi kuisha kwa kuwa anapokula mmoja pia wanaweza kula wawili
Nalog off
 
Back
Top Bottom