Watoto hawa wataweza kujua kufanya tendo la ndoa?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,149
33,326
Nafikiria kidogo, na wewe jaribu kufikira,
hivi,ikitokea watu wakafanya utafiti huu,wakawachukua watoto wawili yaani wa kiume na wa kike au watoto kadhaa wa kiume na watoto kadhaa wa kike,kuanzia miaka miwili tufanye wakawaweka katika jumba kubwa zuri lenye kila aina ya huduma kwa watoto na watu wazima,

Wakawa wanawalaza kitanda kimoja watoto wawili wa kiume na wa kike,hadi kufikia umri wa miaka 21 bila kupata elimu yeyote ya mapenzi ama ngono,bila kuona sinema za mapenzi,kusoma vitabu vya mapenzi,kusikia hadithi za mapenzi,wala mafundisho ya mapenzi,

Je,watoto hao wakifikisha umri wa miaka ya kubalehe ama kuvunja ungo wataweza kujua chochote kuhusu mapenzi kama kujamiiana,kukiss au aina yeyeote ya mapenzi,wtaweza kujua kua hiki ni kiungo cha uzazi kuna raha kuvihusisha viungo vya uzazi kwa ajili ya kupata raha?
najaribu tu kufikiri,ni nini kitatokea ?
tujadili.
 
MKUU kuna MTU anafundishwa KULALA? AU KULIA, KUCHEKA,,,KULA,? hizo ni NATURE MKUU.....ukifika MUDA WENYEWE watatafuta hilo JEGEJE SEHEMU ya kuliweka kwenye KIPOCHI MANYOYA....bila kufundishwa na MTU...ila watakachokosa kujuwa ni KUONGEA TU,,,ila wenyewe watelewana kwa LUGHA YAO

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kushusha mzigo na kujamba ni involuntary actions tunafundishwa socialisation kama kula kwa mkono, heshima elimu na dini.
 
Hawata fanya , mfano mzuri ni mimi nilikuwa sijui kukiss wala kama kuna raha ya kukiss mpaka nimemaliza form four .Isitoshe nikiona watu wanakiss nasikia kichefuchefu hadi nikawa naogopa kuja kuoa kwa harusi (mara nyingi kwenye harusi ndo nilikuwa naona watu wakikiss)
Nafikiria kidogo, na wewe jaribu kufikira,
hivi,ikitokea watu wakafanya utafiti huu,wakawachukua watoto wawili yaani wa kiume na wa kike au watoto kadhaa wa kiume na watoto kadhaa wa kike,kuanzia miaka miwili tufanye wakawaweka katika jumba kubwa zuri lenye kila aina ya huduma kwa watoto na watu wazima,wakawa wanawalaza kitanda kimoja watoto wawili wa kiume na wa kike,hadi kufikia umri wa miaka 21 bila kupata elimu yeyote ya mapenzi ama ngono,bila kuona sinema za mapenzi,kusoma vitabu vya mapenzi,kusikia hadithi za mapenzi,wala mafundisho ya mapenzi,je? watoto hao wakifikisha umri wa miaka ya kubalehe ama kuvunja ungo wataweza kujua chochote kuhusu mapenzi kama kujamiiana,kukiss au aina yeyeote ya mapenzi,wtaweza kujua kua hiki ni kiungo cha uzazi kuna raha kuvihusisha viungo vya uzazi kwa ajili ya kupata raha?
najaribu tu kufikiri,ni nini kitatokea ?
tujadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawata fanya , mfano mzuri ni mimi nilikuwa sijui kukiss wala kama kuna raha ya kukiss mpaka nimemaliza form four .Isitoshe nikiona watu wanakiss nasikia kichefuchefu hadi nikawa naogopa kuja kuoa kwa harusi (mara nyingi kwenye harusi ndo nilikuwa naona watu wakikiss)

Sent using Jamii Forums mobile app

umezidiwa na homoni nyingi za kike....kuna wengine wenye tatizo kama lako hata kugegeda wanaona kinyaa..
 
kuna muvi moja nilishawahi kuicheki watoto wawili me na ke tena mtu na dadaake walinusurika kifo baada ya jahazi walilokua wanasafiria kupigwa dhoruba na watu wengine kudanja. Wale watoto walienda kuishi kwenye kisiwa ambacho hakina watu, siku moja walipokua wakubwa wakaanza kuchomezana then wakagegedana then wakazaa mtoto the maisha yakaendelea.
Huyo ndio mother nature yeye hata usipokaa class utamjua tuu.
 
Nafikiria kidogo, na wewe jaribu kufikira,
hivi,ikitokea watu wakafanya utafiti huu,wakawachukua watoto wawili yaani wa kiume na wa kike au watoto kadhaa wa kiume na watoto kadhaa wa kike,kuanzia miaka miwili tufanye wakawaweka katika jumba kubwa zuri lenye kila aina ya huduma kwa watoto na watu wazima,wakawa wanawalaza kitanda kimoja watoto wawili wa kiume na wa kike,hadi kufikia umri wa miaka 21 bila kupata elimu yeyote ya mapenzi ama ngono,bila kuona sinema za mapenzi,kusoma vitabu vya mapenzi,kusikia hadithi za mapenzi,wala mafundisho ya mapenzi,je? watoto hao wakifikisha umri wa miaka ya kubalehe ama kuvunja ungo wataweza kujua chochote kuhusu mapenzi kama kujamiiana,kukiss au aina yeyeote ya mapenzi,wtaweza kujua kua hiki ni kiungo cha uzazi kuna raha kuvihusisha viungo vya uzazi kwa ajili ya kupata raha?
najaribu tu kufikiri,ni nini kitatokea ?
tujadili.
Walahi, swala la sex ni swala ambalo lipo kwenye nature yani kama mtoto vile anavyoanza kunyonya bila kufundishwa ni kama kitoto cha mbuzi vie kinavyozaliwa na kukimbilia kwenye chuchu ya mama yake bila kufundishwa walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiria kidogo, na wewe jaribu kufikira,
hivi,ikitokea watu wakafanya utafiti huu,wakawachukua watoto wawili yaani wa kiume na wa kike au watoto kadhaa wa kiume na watoto kadhaa wa kike,kuanzia miaka miwili tufanye wakawaweka katika jumba kubwa zuri lenye kila aina ya huduma kwa watoto na watu wazima,wakawa wanawalaza kitanda kimoja watoto wawili wa kiume na wa kike,hadi kufikia umri wa miaka 21 bila kupata elimu yeyote ya mapenzi ama ngono,bila kuona sinema za mapenzi,kusoma vitabu vya mapenzi,kusikia hadithi za mapenzi,wala mafundisho ya mapenzi,je? watoto hao wakifikisha umri wa miaka ya kubalehe ama kuvunja ungo wataweza kujua chochote kuhusu mapenzi kama kujamiiana,kukiss au aina yeyeote ya mapenzi,wtaweza kujua kua hiki ni kiungo cha uzazi kuna raha kuvihusisha viungo vya uzazi kwa ajili ya kupata raha?
najaribu tu kufikiri,ni nini kitatokea ?
tujadili.
Kuna movie moja inaitwa the blue lagoon, kaitafute utapata majibu

Watajua tu mbona kwani wanyama wanafundishwa nanani
 
Back
Top Bottom