Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukiona mwanaume aliyeoa na bado anaujasiri wa kudhani kuwa anaweza kuishi bila huyo mke wake na mambo yakaenda poa tu basi ujue kuna mawili hapo. Kuna shida kubwa kwa huyo mke au huyu mwanaume...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Utamaduni wetu umetujengea matarajio makubwa kwa mwanaume. Tangu mtoto wa kiume anapozaliwa, jamii inamtegemea aoneshe tofauti yake na mwenzake wa kike. Kazi atakazopewa, kwa mfano, kwa kawaida...
1 Reactions
1 Replies
926 Views
Kiukweli mimi na msichana kiportable ni mbalimbali. I dont feel them. Naona hawana joto la kutosha. Kama umezoea kuendesha zile Trailers au Semi Trailers unapokuja kuendesha IST,VITZ au Passo...
2 Reactions
197 Replies
28K Views
Nina mpenzi wangu ambaye amebadilika sana. Naweza nikawa na appointment naye nikafika eneo la tukio hata akiwa hapo hapo akashindwa kutokea atakwambia hata yupo salooni umfate huko...
3 Reactions
150 Replies
17K Views
Habari za saizi wakuu Wale ambao tumewahi kukanwa na mpenzi mbele za watu tuambaiane ilikuaje. Mimi nilikuwa na bibie mmoja nilimpenda sana kipindi cha pasaka tulikuabaliana night tutatoka pamoja...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Ufalme wa mbinguni click the video pleaeeeese
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna demu nmekua nae mwaka wa 2 huu sasa, kiufupi nampenda sana maana tumetoka mbali. Nilikutana nae kagera, mpaka tena tukaja kuonana dar, ila alikua ananikazia mzigo, but jana kashinda apa...
6 Reactions
192 Replies
16K Views
Ukiwa 37 kwa wengi uko kwenye ajira, kama ni mkulima ndiyo wakati wa shamba kukutegemea kwa kiasi kikubwa au biashara inakupa changamoto. Unahangaika kujenga na kusomesha watoto. Ndoa inapitia...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
I am a Tanzanian girl young age and HIV positive, Pure Christian. Natafuta mwanaume HIV+ ambaye nitaishi nae kama mchumba wangu na baadaye tutafata taaratibu za ndoa. Naishi na wazazi Kigamboni...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Mtaani kwetu kuna familia ya kijaluo, baba, mama na watoto 4 wa kike na 1 wa kiume. Binti yao mkubwa yupo kidato cha nne, kiukweli japo mdogo lakini mashalah! Binti siku zote akiwa nyumbani...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Wana MMU natumai mko poa. Hili ndio jukwaa lililotulia kidogo kwa sasa kwa hiyo ngoja tujimwayemwaye huku tuu. Huko kwingine kuna kelele sana. Kila mahali ukipita ni Jafo-Magufuli, Magufuli-Jafo...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Uzi ndo huu. Mie nikisikia Arusha napata picha ya: 1. Wajuaji fulani hivi wa kijanja, 2. Wenye love mingimingi, 3. Wachapakazi (fighters) wenye chapaa 4. Na ubabe ka wote yani (hata mademu)...
24 Reactions
219 Replies
25K Views
Unakuta unaongea na mtu kwa simu , afu kwenye kujibu yeye pindi unapoongea , anakuwa anajibu kwa kuguna , .mhhh...hehhhh...huh.... Mh... Haehehe..., hh , Vp wewe imeshakukumba hii? Maana mie...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hata kama mbingu zitafunuka na jopo la watakatifu likashuka au nikawekewa mtutu wa bunduki shingoni sitabatilisha kauli. Bado nitaendelea kusisitiza sikukusaliti sababu moyo wangu ulianza kuzika...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Wanaume ndio hutongoza ,lakini je inaweza kuwa kinyume chake? je wewe mwanaume ulishawahi kutongozwa na mwanamke?,ulimkubalia maombi yake?,unamchukuliaje mwanamke akikutongoza ?,au ulimchukuliaje...
3 Reactions
97 Replies
17K Views
Habari sana ndugu wa jf? Natumaini hamjambo ,naomba niende kwenye hoja. Mimi ni mtoto wa nne kuzaliwa katika familia ya watoto saba,mama na baba walitengana zamani sana hivyo kupelekea sisi...
21 Reactions
114 Replies
13K Views
Sababu kubwa inayokufanya mwanaume uoe ni ipo kati ya hizi: 1. Kupata watoto 2. Kusaidiwa kupika na kufua 3. Kupata jigijigi kila unapo taka 4. Kuondoa upweke ndani ya nyumba Nimeona nilete...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wanadada wa Jukwaa hili pendwa, Twende kwenye mada moja kwa moja tusichoshane, Wanawake wengi hupoteza Wanaume wa maana kwenye maisha yao au kuvunja mahusiano yao kwa kuendekeza mambo ya...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Natumai hamjambo wakuu, Binafsi juu ya utamu wa mapenzi niliamini kama wadau wengi wanavoamini kuwa unachagizwa zaidi na maumbile makubwa ya wanaume/maumbile madogo ya wanawake, but now...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…