Utamu wa mapenzi na mtazamo wa wengi

Utamu wa mapenzi na mtazamo wa wengi

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
Natumai hamjambo wakuu,

Binafsi juu ya utamu wa mapenzi niliamini kama wadau wengi wanavoamini kuwa unachagizwa zaidi na maumbile makubwa ya wanaume/maumbile madogo ya wanawake, but now nimebadili mtizamo after kukutana na wadada tofauti tofauti.

Now naamini utamu wa mapenzi ni jambo la kihisia zaidi, I mean ukiwa na hisia kali zaidi kwa sommeone ndiyo utamu pia huongezeka bila kujali ukubwa wala udogo wa maumbile ya wahusika.

Nakaribisha mitizamo yenu pia.
 
Maumbile nayo yanaongeza hisia,wo wo sio sawa na kabetina.
 
Natumai hamjambo wakuu,

Binafsi juu ya utamu wa mapenzi niliamini kama wadau wengi wanavoamini kuwa unachagizwa zaidi na maumbile makubwa ya wanaume/maumbile madogo ya wanawake, but now nimebadili mtizamo after kukutana na wadada tofauti tofauti.

Now naamini utamu wa mapenzi ni jambo la kihisia zaidi, I mean ukiwa na hisia kali zaidi kwa sommeone ndiyo utamu pia huongezeka bila kujali ukubwa wala udogo wa maumbile ya wahusika.

Nakaribisha mitizamo yenu pia.
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom