Je, ni ipi sababu kubwa kabisa inayokufanya mwanaume uoe?

BSL

Member
Dec 15, 2018
86
98
Sababu kubwa inayokufanya mwanaume uoe ni ipo kati ya hizi:

1. Kupata watoto
2. Kusaidiwa kupika na kufua
3. Kupata jigijigi kila unapo taka
4. Kuondoa upweke ndani ya nyumba

Nimeona nilete hoja hii ili nione kama kuna ulazima wa kuoa maana wanaume siku hizi wanateswa sana na wanawake kwa kakosa uaminifu.
 
Omba sana Mungu upate mtu sahihi la sivyo utajuta maisha yako yote! Kosea vyote usikosee kuoa! Nikirudi kwenye hoja tunaoa kutimiza matakwa ya dini maana zinaa ni kitu kibaya sana!
 
Omba sana Mungu upate mtu sahihi la sivyo utajuta maisha yako yote! Kosea vyote usikosee kuoa! Nikirudi kwenye hoja tunaoa kutimiza matakwa ya dini maana zinaa ni kitu kibaya sana!

Kabla ya dini watu hawakuoana?
Wasio na dini hawaoi?

Kuoa ni matakwa ya nature;
Njiwa ana mke
Simba ana mke
Tunaoana ili kutengeneza na kuendeleza vizazi.
 
Dah. Swali kem kem hili. Mi nimeoa nikiwa na miaka 28. Am old enough, ila wakati naoa nilioa kwasababu tu ya msukumo kutoka mwilini, kwasababu muda ukifika kila kitu hakiendi, kuanzia unaenda kulala kitandani mpaka kufika asubuhi, utadhani ni miaka miwili usiku unapitiliza. Kwahiyo nikaoa faster. Sasa hivi nina miaka 50 nafurahia uumbaji wa Mungu. Kweli Mungu aliumba!! ' TAKE IT FROM ME"
 
Back
Top Bottom