Nipe kabla hujaondoka - nani mwingine alishawahi kupewa hii ofa?

Nobunaga

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,169
4,985
Wana MMU natumai mko poa. Hili ndio jukwaa lililotulia kidogo kwa sasa kwa hiyo ngoja tujimwayemwaye huku tuu. Huko kwingine kuna kelele sana. Kila mahali ukipita ni Jafo-Magufuli, Magufuli-Jafo.

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Hivi unamchukuliaje mpenzi wako awe wa kike/kiume ambaye mmetoka kugombana sana mpaka mmefikia hatua ya kila mtu kuchukua hamsini zake kisha anakuambia lets do for the last time? Je ni wangapi imewahi kuwatokea? Na ulipoambiwa hivo ulikubali ama ulikataa?

Binafsi imenitokea mara 2. Mara ya kwanza huyu manzi tulizinguana naye sana, tuliparangana usiku mzima. Kufika asbh tukaafiki kila mtu achukue hamsini zake. Tulikuwa tuna cohabit so nikaamue niondoke mimi nimuache yeye hapo kweny hiyo apartment. Lakini cha kushangaza kabla sijaondoka nikashtukizwa na "lets do it for the last time you motherfu*ker". Baharia sikujivunga nikai-hit harder then huyooo nikayeya.

Wa pili ni juzi juzi tuu. Alinifumania red-handed na texts za manzi mwingine. Tulifanya timbwili la hapa na pale lakini baadae akatulia. Kwa kuwa ilikuwa usiku tukalala akiapa asubuhi ataondoka na ndio mwisho wa mahusiano yetu. Usiku mzima tukalala mzungu wa nne. Imefika mida ya majogoo nikashangaa nasogelewa na kukumbatiwa.

Huyu wa sasa nashukuru hajaondoka, ilipofika asubuhi nikashangaa tunaendelea na maisha mengine kama kawaida.

¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥¥

Reply konki

Umenikumbusha mengi Nina mpenzi tuligombana sana siku moja muafaka tukafikia kila mmoja achukue hamsini zake lakini tulipoachana nikashanga tunaendelea kuchati baada ya hapo tukaludiana tena. Na mzigo akanipa tena daa mapenzi haya
 
Mwanamke akipenda hakuachi ata ufanyeje 🤣🤣🤣
 
Mara nyingi migogoro yangu ya kimahusiano huwa inaisha hivyo... Mimi mwanamke awaye yote atakayepata bahati ya kunjunjwa na mimi, basi huwa nahakikisha namkunja kisawasawa. Hata ikitokea tunaachana basi huwa lazima nikumbukwe. Wengi tumeachana kwa mtindo huu... Mwanaume ukipata nafasi ya kumkunja mwanamke, basi hakikisha unamkunja na kumkuna kisawasawa, hii ni tiba ya mambo mengi sana kwenye mahusiano...
 
Aisee, basi ngoja niongeze dozi kwa huyu wa sasa.
 
vyuo vimefunguliwa lkn bado niko kitaa. sa kuna demu nlimtokea lkn akanipga za uso, siku flan nkamwambia soon ntaondoka akanambia ikifika siku 1 kabla cjaondoka nmtafute then atanipa zawadi.

sijui ni zawadi gani lkn naamini itakuwa K
 
Umenikumbusha chuo mkuu nikiwa naishi getokwangu nilikuwa na manzi mmoja mkali sana...ila huyo mtoto alikuwa na tabia ya kipekee sio siri kwani kila tugombanapo sana mpaka akifikia hatua ya kumwaga chozi alikuwa akifurahi kuona baharia navyombembeleza kwa kumshika shika kitu kilichokuwa kikimstimulate na kuamsha hisia za kimapenzi kwake from nowhere.

Hivyo nilikuwa najiongeza na kumliwaza kwa show ya kibabe usiku kucha ambapo ikifika asubuhi mtoto anakuwa keshanisamehe.

Baadae ikawa kamchezo, yule manzi akawa ana anzisha maugomvi makusudi kila akija geto ili mwisho wa siku nimtafune kisawasawa.

Nakumbuka kuna siku baada ya kugombana akawa analia kwa sauti kubwa sasa alivyokolea nilipoanza kupump mashine ndio akaongeza kulia huku anakatika mbaya pamoja na miguno juu, na ukizingatia ilikuwa usiku wa manane. Majirani ilibidi waje kugonga mlango maana walidhani naua mtu.
 
Back
Top Bottom