Je, ni kweli wajaluo wana mila ya baba ‘kufungua njia’ ya mwanae wa kike?

Wilson Leguna

Senior Member
Feb 22, 2017
103
90
Mtaani kwetu kuna familia ya kijaluo, baba, mama na watoto 4 wa kike na 1 wa kiume. Binti yao mkubwa yupo kidato cha nne, kiukweli japo mdogo lakini mashalah!

Binti siku zote akiwa nyumbani anavaa nguo za kiuchokozi, alirudishwa nyumbani kwa kua ni mjamzito lakini baba na mama wameongea na walimu shuleni kwake. Amerudishwa kufanya mitihani na amemaliza.

Cha ajabu mtaa mzima wanamnyooshea vidole baba kuwa ndio kampa ujauzito kwani alikua anakula mzigo.

Mama alikuja juu lakini alipoozwa kuwa ni mila za kijaluo! Eti baba alipofungua njia na mimba ikaingia!

Swali ni kweli mila za kijaluo baba hufungua njia kwa binti yake kabla ya wengine?
 
Kati ya makabila ambayo yanakumbatia mila za hovyo na za kizamani ni wajaluo.

Ukienda mgeni mwanaume familia inakuandalia kabinti cha kukukinga baridi...

Misiba yao ndio balaa imeambatana na imani za ajabu... kama umeoa huko mtu wa makabila mengine... mkeo akienda kwenye misiba kuna mtiririko wa mila kichefuchefu zingine zinaingilia mpaka ndoa yako
 
Mtaani kwetu kuna familia ya kijaluo, baba,mama na wtt 4 wa kike na 1 wa kiume. Binti yao mkubwa yupo kidato cha nne, ki ukweli japo mdogo lkn mashalah!
Binti cku zote akiwa nyumbani anavaa nguo za kiuchokozi, alirudishwa nyumbani kwa kua ni mja mzito lkn baba na mama wameongea na walimu shuleni kwake...amerudishwa kufanya mitihani na amemaliza.
Cha ajabu mtaa mzima wanamnyooshea vidole baba kua ndio kampa ujauzito kwani alikua anakula mzigo, mama alikuja juu lkn alipoozwa kua ni mila za kijaluo! Eti baba alipofungua njia na mimba ikaingia! Swali ni kweli mila za kijaluo baba hufungua njia kwa binti yake kabla ya wengine?
Ukiwa mhaya nitakusamehe, kwa vile wao wanaruhusa ya kutusemea mbovu si wengine !! Lakini kama ni kabila nyingine unatuzushia na unatudharau.

Kabila letu lina mila zenye nguvu sana. Na mtoto wa kike ana heshima zake, na baba hagusani na mwanaye wa kike. Na mama hawezi kuvumilia ushenzi huo. Hakuna kitu cha namna hiyo !! Labda huyo mjaluo jina, aliyekulia mjini asiyejua mila na utamaduni .

Lakini pia tukubali kuna uhalifu kama uhalifu mwingine.
 
Kati ya makabila ambayo yanakumbatia mila za hovyo na za kizamani ni wajaluo. Ukienda mgeni mwanaume familia inakuandalia kabinti cha kukukinga baridi.... misiba yao ndio balaa imeambatana na imani za ajabu... kama umeoa huko mtu wa makabila mengine... mkeo akienda kwenye misiba kuna mtiririko wa mila kichefuchefu zingine zinaingilia mpaka ndoa yako

Hiyo ya kabinti ka kukukinga baridi Sawa.....nyingine nah....
 
Fungua njiaaa eeeh, kitoto chaanza tambaaa x2 (Anonymous)
 
Mkuu hii ni habari na ya kiuchunguzi, ya utani, ume iishi, umehadithiwa, umeipata kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika au ni umbea tu?

Maana kupata habari za ndani kua baba anamkula binti yake si jambo rahisi. Na mpaka ukajua kua kapata mimba ya baba yake, mama mtu akaja juu lakini akatulizwa.

Shule wakamfukuza ila wazazi wakaongea na waalimu!!! labda uwe mwana familia hiyo tena wa inner circle sio wa juujuu.
 
Ukiwa mhaya nitakusamehe, kwa vile wao wanaruhusa ya kutusemea mbovu si wengine !! Lakini kama ni kabila nyingine unatuzushia na unatudharau.

Kabila letu lina mila zenye nguvu sana. Na mtoto wa kike ana heshima zake, na baba hagusani na mwanaye wa kike. Na mama hawezi kuvumilia ushenzi huo. Hakuna kitu cha namna hiyo !! Labda huyo mjaluo jina, aliyekulia mjini asiyejua mila na utamaduni .

Lakini pia tukubali kuna uhalifu kama uhalifu mwingine.
Mkuu nashukuru kwa kuniweka sawa...mm mwenyewe nilikilaani sana kitendo hicho, ila nilipoa nilipoambiwa ni mila za kijaluo! Nilikua na mawazo kua wangemtait mtt aseme ni nani kampa mimba ili sheria ichukue mkondo wake,lkn imekua kinyume...baba anapita na machungwa na kusema kuna kijacho nyumbani kwake..mm ninachukulia ameamua kuridhika kulea mimba kama baba badala ya kumpeleka mhusika kwa pilato...
 
Kwanza nilitaka kujua unajishughulisha na nn kuendesha maisha yako maana unafuatilia mambo ya watu yasiyokuongezea kipato
 
Kati ya makabila ambayo yanakumbatia mila za hovyo na za kizamani ni wajaluo. Ukienda mgeni mwanaume familia inakuandalia kabinti cha kukukinga baridi.... misiba yao ndio balaa imeambatana na imani za ajabu... kama umeoa huko mtu wa makabila mengine... mkeo akienda kwenye misiba kuna mtiririko wa mila kichefuchefu zingine zinaingilia mpaka ndoa yako
Mila gani hiyo inaingilia ndoa yako ndugu? Umeoa Mjaluo? Na ni zipi mila za kizamani unazozisema? Maana wengine mnatahiri wanawake huko lakini hiyo mtaiita ya kisasa
 
Back
Top Bottom