Je unaweza kuishi bila mumeo/mkeo?

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Ukiona mwanaume aliyeoa na bado anaujasiri wa kudhani kuwa anaweza kuishi bila huyo mke wake na mambo yakaenda poa tu basi ujue kuna mawili hapo.

Kuna shida kubwa kwa huyo mke au huyu mwanaume anashida ya akili. Binafsi kila siku naendelea kugundua kwamba siwezi na sintoweza bila mke wangu. Life will never be the same without her.

Huwezi kuamini, lakini sometimes nafasi ya wake zetu ni kubwa na muhimu sana kwenye maisha yetu kuliko nafasi yetu kwao. Ukilielewa hili itakusaidia.
 
Umeongea ukweli mtupu.

Talaka ni mbaya kotekote, na ndio maana watu wakabaki kwenye ndoa zenye maumivu.. Mungu akimuwezesha anajipa furaha mwenyewe na maisha yanaendelea.

Kuna watu watakupinga lakini ukweli ndio huu uliousema. Wanaume wanajidanganya Sana kuwa wanawake ni wafiandoa. Yes. Lakini akichoshwa na manyanyaso na dharau huwa ana uwezo wa kuishi single, lakini asilimia kubwa ya wanaume kadiri umri unavyoyoyoma ndio uwezo wa kuishi single unavyopungua.

Tuthaminiane tupendane tufurahie ndoa zetu. Panapo uhai tuzeeke pamoja.
 
uwezo wa kuishi single unapunguaje??
 
uwezo wa kuishi single unapunguaje??
Mwanaume mtu mzima anahitaji Sana mwenza kuliko mwanaume kijana.. Kama ana watoto atahitaji mtu wa kuwaangalia kwa ukaribu.

Kazi za ndani km kufua, kupika na kusafisha nyumba mwanaume mtu mzima ni ngumu sana kufanya mwenyewe.
Mwanamke hata kama ana kazi au biashara lakini akirudi nyumbani lazima afanye kazi za nyumbani pia..
 
Kwa binadamu aliye kamilika, kuna umri flani akisha ufikia lazima ataanza kuumuzwa na upweke.
 
Kabla ya kujiuliza kama unaweza kuishi bila mwenza wako, ni vizuri ukajiuliza tokea mwanzo kwamba kwanini unahitaji mme/mke.
 
Umekosea pale uliposema kuwa mwanaume anamuhitaji sana mwanamke kuliko mwanamke anavyo na uhitaji na huyo mwanaume

Sio kweli
Bora ungesema wote wanahitajiana sawa
Japo iko hivi kibiblia mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume na si mwanamke kwa ajili ya mwanaume.
 
Back
Top Bottom