Mabaharia kwa hali hii uwa mnajiandaaje?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,712
Reaction score
63,398
Mabaharia kwa hali hii uwa mnajiandaaje?
Unakuta mkeo/mpenzi wako alienda safari ya mbali kwa muda wa miezi sita na tangu aondoke wewe hujachepuka;Sasa leo ndio yuko njiani anakuja, labda baada ya masaa 10 atakuwa amefika. Katika hali ya kawaida wewe utakuwa katika mudi gani katika ujio wake,na hiyo siku utaichukuliaje?
 
ha ha ha wa mkoani anajiandaaje,na wa dar anajiandaaje?
Wa Mkoani atasafisha nyumba vizuri,atampikia mgeni,ataenda kumpokea standi,anarudi naye mpaka nyumbani.
Wale wa Dar,kwanza akipata taarifa tu mke anarudi,jambo la kwanza ni kupiga simu kwa muuza ngisi na pweza kwaajili ya booster,atampigia bodaboda wake akamlete mgeni kutoka stendi,pia atamuomba bodaboda akitoka standi apitie kwa muuza chipsi kwaajili ya mgeni😂😂, huku yeye muda huo yupo nyumbani anatafuta maganda ya condom zilizotumika asije akakamatwa
 
ha ha ha ha
 
Wa Mkoani atasafisha nyumba vizuri,atampikia mgeni,ataenda kumpokea standi,anarudi naye mpaka nyumbani.
Wale wa Dar,kwanza akipata taarifa tu mke anarudi,jambo la kwanza ni kupiga simu kwa muuza ngisi na pweza kwaajili ya booster,atampigia bodaboda wake akamlete mgeni kutoka stendi,pia atamuomba bodaboda akitoka standi apitie kwa muuza chipsi kwaajili ya mgeni[emoji23][emoji23], huku yeye muda huo yupo nyumbani anatafuta maganda ya condom zilizotumika asije akakamatwa
Ahaaaa
 
Mimi namtega mlangoni akifika tu namrukia moja kwa moja nampata kimoja cha usimama. Baadae ndo nampeleka chooni tuoge atoe jasho la safari den apate msosi.
 
Ha ha ha ha hakuna kumpumzisha mkuu?
 
Back
Top Bottom