Mabaharia punguzeni kutongoza wake/wapenzi wa watu,Ukiona vyaelea ujue vimeundwa

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,399
40,295
Mabaharia punguzeni kutongoza wake/wapenzi wa watu,Ukiona vyaelea ujue vimeundwa.
Imetokea siku ya leo; nilimruhusu mpenzi wangu asafiri kwa ajili ya kupata matibabu ya macho, na ametumia usafiri wa basi.

Mbaya zaidi, kuna kituo wakasimama kwa ajili ya kupata chakula... cha kusikitisha zaidi mabaharia wasiokuwa waaminifu wakaanza kumtongoza na kumuomba namba za simu.

Baada ya kunipa hizo taarifa nimesikitika sana,nami nikamwambia uamuzi ni wa kwako uwape ama usiwape.

Kwa mawazo ya haraka haraka nikagundua mabaharia wengi wanachanganyikiwa waonapo chura matata....
 
Weka picha ya chura, mkuu :cool:
Isiwe tabu.....
IMG-20191108-WA0016.jpeg
 
Back
Top Bottom