Unamchumba amebandika kope?

Unamchumba amebandika kope?

Icon Special

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
257
Reaction score
230
Una mchumba ametoboa skio lote..ametoboa pua..ametoboa ulimi..hadi kitovu ametoboa..anabandika kucha na kope pia na bdo anajichubua halfu unakaa mbele za wa2 unasema hujawah kumuona SHETANI .... Ndugu yangu hv unatk kumuona shetan wa aina gn[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]?????
 
Kwanini unaita binadamu wenzako mashetani?

Kwako kama hupendi wapo wanaopenda wachumba wa hivyo. Kwani wewe kuna mtu anakuchagulia mkuu mchumba wako aweje na asipokuwa hivyo wamuite shetani?

Kitu usichokubaliana nacho wewe usikigeuze kashfa mkuu.
 
Wanatoga mpaka papuchi
 
Mwenye mapembe na mkia
 
Mkuu naona utakuwa umecreem, coz Kuna mashetani wa Aina nyingi anaweza kuwa, jini Binaadam, mdudu au hata mnyama VP asiwe huyo niliyemdefine hapo kwenye uzi huu

Think twice au kasome vzur Quran /Bible utaelewa vzur
 
Wanatoga mpaka papuchi
Ahahaaa hilo nalo neno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha kujiuliza sasa, anatoboa ili iweje kwenye hio kitu

Wanawake akili zao, wanazijuaga wenyewe Kwa kweli
 
Watu hatufanani. Mtu aishi tokana na hisia zake.
Una mchumba ametoboa skio lote..ametoboa pua..ametoboa ulimi..hadi kitovu ametoboa..anabandika kucha na kope pia na bdo anajichubua halfu unakaa mbele za wa2 unasema hujawah kumuona SHETANI .... Ndugu yangu hv unatk kumuona shetan wa aina gn[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]?????
 
Usichopenda ww kuna wenzio wanapenda, usimuite binadamu mwenzio shetan hukumu ni juu ya bwana
Sio mm to, hata Muumba wako hapendi type hio ya life style, no Kwamba anachukia vp mm nisichukie madame!!??? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Urembo uliopitiliza usioni ni vizuri.....
Umeona eehh hapo sasa, ndo ukisikia
Ukitaka uzur shart uzurike ndo Kama hivo, Badala ya kuitwa Mrembo unajikuta unaelement za kuitwa Shitwani [emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I like being simple 💃
Natural beauty😚 ila kwenye kucha niache kidogo😂 nazipenda mnoo zangu,kuziacha bila rangi au henna ni kitu ambacho ziwezi( Og nails)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom