Tamaa mbaya ambayo si ya kawaida, siridhiki na mwanamke mmoja

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Mimi ni kijana, ujana ni maji ya moto na hapa ndipo hasa unawaka, karbia mwaka wa 4 huu yaani nina tamaa kuliko kawaida ila saivi namshukuru mungu

Tamaa yangu hasa, nikilala na msichana mara 2 yaani namchoka mimi nakua sitamani hata kumuona, katika macho yangu.

Mpaka sasa hivi, nishawatoa usichana wadada ka wanne tangu niyajue mapenzi, ila mwisho wa siku nimekua nikiwaumiza mpaka najilaumu yaani mimi mschana asipite mbele yangu.

Saivi nina wiki ya 2, sijafanya mapenzi najifanya sina demu na nimeacha ila tamaa jamani, naona kama mwaka, nimekua nikiwapanga mabinti kama nini, ila kinachonisaidia sina hela na sijui ningekua nazo ingekuaje

Kuna binti mrembo nilikutana nae maeneo ya mwenge, alinizungusha penzi kiribia miezi miwili, nilivokuja kufanya nae mapenzi tu, anafika kwao na text inamfata nkimtaka tuachane, alnambia alinipga kelele mpaka majirani wakasikia, alinitishia kuniroga.

Mimi mwenzenu ata sijui siku nikija kuoa mke nitakaa nae kivipi au nitakua nimeshabadilika na ndo kwanza natafta maisha, na nimepanga wasichana tu.

Hata nikiwa natembea na mdada, asipite mwingine lazima nitoe macho yaani nina tamaa sijui wanaume wenzangu nyie mnaishije, na nyumbani sina wa kunishauri maana mimi ni mpole na muda wote nakaaga chumbani, hawawezi kujua haya mambo nayafanyaga saa ngapi, hata nikitoka wanajua nimeenda kwenye mishe zangu tu wanazozijua.

Yaani mimi siridhiki, mda mwingine nakua na mwanamke naona kabisa nitatulia, lakini usiombe nikafanya nae tuu mapenzi mara moja, jamani mwenzenu sijui tatizo ni nini.

NB: Hua siuzi mechi
 
We tamaa yako mbona ya kawaida sana. Wengine hapa achilia mbali wabibi na mimama tunatolea macho ndugu wa aina yoyote yaani hata bibi yake na mke wangu na istoshe hadi wale wanaume wenye sura za kike.
Acha bana we huna tamaa
 
Unanyota ya ukimwi.ongeza bidii utaupata.yaani unajitambua unatamaa afu unauliza sijui kwa nini?.utapata majibu kwa Dr
 
We tamaa yako mbona ya kawaida sana. Wengine hapa achilia mbali wabibi na mimama tunatolea macho ndugu wa aina yoyote yaani hata bibi yake na mke wangu na istoshe hadi wale wanaume wenye sura za kike.
Acha bana we huna tamaa
# bhn bhn bhn weeh mbaya zaidi ni ile ya kulala na dem, hutak tena
 
Mapenzi sio vita mpende mmoja utulie magonjwa mengi sikuhizi

Sitarajii nkuone jukwaa la afya kule uje uombe msaada tukusaidie after being infected.
 
Mapenzi sio vita mpende mmoja utulie magonjwa mengi sikuhizi

Sitarajii nkuone jukwaa la afya kule uje uombe msaada tukusaidie after being infected.
Ukitulia na mmoja utampenda, baadae akikuacha unalialia stress kbao
 
Back
Top Bottom