Ukiona kila mnapomaliza anaenda kunawa/kuoga, huyo ni baharia wa nchi kavu

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Yaani ukiona kila mnapomaliza kufanya kazi yake yeye anakimbilia 'fasta' kunawa, huyo ni mjanja sana. Hata kama ni wako inabidi ujiulize sana.

Means hataki kitu iingie kunako, anaenda imwaga chini. Huyo anajitambua mno. Hataki kunasa kwako. Hakutaki!

Wasalaamu.
 
Aaaah weeeeee hivi unapata wapi nguvu za kusimama na kutoka kwenye lile joto mpaka bafuni na kumwagia ukoo

Dah
 
Mimi binafsi sijakuelewa
Yaani kupata mimba na kunawa havihusiani kabisa
Hii topic 'kabila hii' tuliwahi ijadili sana humu.

Kuna member mmoja alishupaza shingo na kudai anauwezo wa ku squeez hayo makitu na kuepuka mimba.

Mimi nilimbishia waziwazi kwamba haelewi lolote kuhusiana na mambo hayo.

Kunawa ama ku squeez hakuzuii mimba kuingia.
 
Yaani ukiona kila mnapomaliza kufanya kazi yake yeye anakimbilia 'fasta' kunawa, huyo ni mjanja sana. Hata kama ni wako inabidi ujiulize sana.

Means hataki kitu iingie kunako, anaenda imwaga chini. Huyo anajitambua mno. Hataki kunasa kwako. Hakutaki!

Wasalaamu.
Bado hujui mambo mengi.

Kama umelenga mimba, basi bado mchanga.

Unadhani hadi mtu akae na shahawa masaa ndiio mimba iingie? Kama hujui, kuanzia leo elewa kuwa ukiwa unapiga bao, kuna manii za hawali huruka kama volcano. Sasa hata kam ikitokea ukamwaga zingine nje, zile tone zilizo ruka zinaleta matokeo.

Sperm zina safari, kwa kasi ya ajabu. Kitendo cha kutoa maniii tu, zinaanza tafuta huelekeo, kama yupo atalini na wew sperm zako nzima lazima anase.

Ila kama unaongelea ujanja wa kuosha K. Inaonyesha ni kuwa kakubuu, bado una feli. Usizoeee wanawake wachafu, kitu inasafishwa ina safi, hata akili inakuwa fresh mzuka unaanza upya. Ukizoea wanawake wasio jielewa utapata nao tabu.

Jipe exposure ya waotot mbalimbali, waliofundishwa usafi kwao, utaenjoy sana.

NB.
Usije ukajidangany umwage nje, asipate mimba. Harafu ukafuta mashine yaki, ili uunge. Bila kuhakikisha shahaw zote kwenye urethra hazipo. Utapigisha mtu mimba.
 
Yaani ukiona kila mnapomaliza kufanya kazi yake yeye anakimbilia 'fasta' kunawa, huyo ni mjanja sana. Hata kama ni wako inabidi ujiulize sana.

Means hataki kitu iingie kunako, anaenda imwaga chini. Huyo anajitambua mno. Hataki kunasa kwako. Hakutaki!

Wasalaamu.
Yaani sijakuelewa kabisa..
Inaonekana bado ni chipkizi kwenye ulingo huu.. Hayo uliyosema hayaendani na lolote uwazalo ww, kama ni chaka basi umeingia chaka hasa tena chaka LA mbwa mwitu..

Siku nyingne usikimbilie kuandika jambo kama hulijui au hulifahamu kiundani its better ukaaandika kwa muundo Wa kutaka kujua au kuelewesha kwamfano ungesema..
Je ukishakojolea ndani na mwanamke akaenda kunawa muda huohuo je ataweza kupata mimba?

Au
Je ukishakojolea ndani na mwanamke akaenda kunawa muda huohuo je ni kwamba amekubuhu au amekuwa na kaumalaya fulani?
Hapo ungepata majibu.
 
Huo ni uchafu kama uchafu mwingine,sometime kunawa kwa kila tendo hupunguza uwezekano wa kupata magonjwa
 
Back
Top Bottom