Amugisha
Member
- Nov 7, 2019
- 39
- 18
Ushauri please,
Umeoa mke mmeishi miaka 11 na katka maisha yenu ya ndoa mmefaulu kupata watoto wawili ambao kiumri ni wakubwa kidogo wapo shule, lakini miaka ya nyuma umekuwa ukimsaliti mkeo, mara kwa mara anagundua unamuomba msamaha yanaisha.
Sasa imefika hatua umeamua kuacha kabisa kumcheat mkeo ili usiendelee kumuumiza, lakini wakati umeacha unagundua yeye ndio kwanza kaanza rasmi hashikiki kila wakati unamfuma na vimeseji vya wanaume mara wametoka kudinyana tena wanaume tofauti tofauti.
Katika hali kama hiyo mnaamua kukaa kikao na watu wa familia yake, anafunguka kwamba mme wangu anasingizia sio kweli na hao watu wananitongoza tu mimi sina mausiano nao, unaamua kuachana na hiyo issue
yaani unasamehe,l.
Baada ya muda mnakaa faragha anakwambia alikataa kukubali mbele ya wanafamilia ili kulinda heshima yake lakini, zile sms zina ukweli hao watu anamausiano nao lakini hajawahi kulala nao wanafukuzia tu, na anakwambia aliyewahi kulala nae ni mmoja tu, na alifanya hivyo kwa sababu ya hasira.
Kwasababu ulimcheat mara nyingi, na anakwambia mpaka sasa hivi ana ka hasira bado lakini anakuomba umsamehe anakupenda sana na umpe nafasi ya kujirekebisa.
Ukikutana na mazingira kama haya unafanyaje mwana jamii.!?
Umeoa mke mmeishi miaka 11 na katka maisha yenu ya ndoa mmefaulu kupata watoto wawili ambao kiumri ni wakubwa kidogo wapo shule, lakini miaka ya nyuma umekuwa ukimsaliti mkeo, mara kwa mara anagundua unamuomba msamaha yanaisha.
Sasa imefika hatua umeamua kuacha kabisa kumcheat mkeo ili usiendelee kumuumiza, lakini wakati umeacha unagundua yeye ndio kwanza kaanza rasmi hashikiki kila wakati unamfuma na vimeseji vya wanaume mara wametoka kudinyana tena wanaume tofauti tofauti.
Katika hali kama hiyo mnaamua kukaa kikao na watu wa familia yake, anafunguka kwamba mme wangu anasingizia sio kweli na hao watu wananitongoza tu mimi sina mausiano nao, unaamua kuachana na hiyo issue
yaani unasamehe,l.Baada ya muda mnakaa faragha anakwambia alikataa kukubali mbele ya wanafamilia ili kulinda heshima yake lakini, zile sms zina ukweli hao watu anamausiano nao lakini hajawahi kulala nao wanafukuzia tu, na anakwambia aliyewahi kulala nae ni mmoja tu, na alifanya hivyo kwa sababu ya hasira.