Alinikuta sina kazi nipo nipo tu nikamtongoza akanikubalia akaniambia ananipenda hivyo hivyo,mapenzi yakaanza akaenda chuo akanipatia kiasi cha pesa kutoka kwenye boom lake.
Nikamwambia poa nipe...
Salaam wanajamii,
Nabisha hodi hapa jukwaani baada ya kua guest reader wa mda mrefu wa jf na kufuatia safari yangu ya kumsaka malkia wa nafsi yangu naona ni muhimu kumsaka popote alipo. Sio...
Habarini wana JF?
Hatimaye nimenyoosha mikono, upweke unanikondesha hivyo nimeamua kufunguka.
Nahitaji kampani ya kike, sina ubaguzi sana ila yafuatayo yazingatiwe:
1. Uwe mchangamfu. Yaani uwe...
Kwa wale ambao mko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5 tunaomba uzoefu wenu. Kuna hili tatizo la kunyimana tendo la ndoa, ambapo mwanaume au mwanamke anakuwa hana hisia na mume/mke aliyenaye kwa kipindi...
kwa mda wote ambao likuwa kifungoni niutumia kwenda kwa watu mbali mbali walioisoma biblia na kuilewa lakini pamoja na hivyo hata mimi niliongeza mda wa kujisomea ili niupate ukweli kuhusu dhana...
Usiombe likukute..!
Leo jioni nimetoka katika shughuli zangu nikarudi home, nikawa napata saladi ya matunda huku nikitafakari mihangaiko yangu ya siku nzima.
Baada ya kama dakika 25 hivi...
Naishi na binti mmoja hivi alishawahi kuwa na mahusiano sasa lakini cha kushangaza kila nikimuuliza ilikuaje mpaka wakaachana na mshkaji hataki kuniambia.
Kwa upande wangu sijapenda na isitoshe...
Watu wengi wamekuwa wakifikiri kwamba upweke ni kuwa wao peke yao. Na hivyo ili kuondokana na upweke wamekuwa wakikazana kuhakikisha wanazungukwa na watu wengi.
Licha ya kuzungukwa na watu hao...
usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana....
alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga...
Demu nlihangaika naye kinyama kabla ya kumpata.shida kubwa alikuwa na mtu wake nami nikawa nataka angalau basi name nimchore tattoo.
Akajichanganya akaja kwangu kucheck movie maana si haba kwangu...
Katika mapenzi suala la kuhonga aliepukiki, na mara nyingi wanawake ndio upenda zaidi kuhongwa ili aweze kumtimizia muhongaji mahitaji yake. Kwa utafiti mdogo nilioufanya...nimekuja kugundua...
Dearest (Name):
It is very important for me to express to you how much you really mean to me. I wish I could do this in person while holding you in my arms and gazing into your eyes...
Habari zenu wakuu,
Bila kuwachosa.
SMS niliyopokea nii hii hapa chini, then maelezo ya mahusiano yetu yatafuata.
" Mambo Powercable, kuna jambo nahitaji ulijue, ni kweli kila kitu kimebadilika...
Habari wana Jamvi,
Naamini hapa kuna watu wa aina tofauti na kuna watu pia tuna mahitaji tofauti ila inakuwa shida saana kujua hitaji la mwenzako na ku share naye.
Back to the point. Hebu leo...
Kwema wana MMU
Niende kwenye mada,
Kuna mwanaume mmoja ana mke na watoto wawili, na yupo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa. Ila ndoa ilipofikisha muda wa mwaka mmoja aliingiwa na pepo la uzinzi...
Sio kila Mwanaume aliyafanikiwa kimaisha basi Mwanamke yupo nyuma yake. Kuna Wanaume wanapitia kipindi kigumu sana kuyafikia mafanikio na wapo na Wanawake zao
Unakuta Mwanamke huna muda na huyo...
Wengi wenye majina mazuri hata kimuonekano wako wazuri. Hii njia unaweza kuitumia kwa hawa wasiotumia ID halisi...akikutajia jina lake tu, unaweza kujua kama ni kifaa au blablaa. Majina yenyewe ni...
Habari za jumapili wanajamii forum
Kadiri muda unavyozidi kwenda mapenzi yanazidi kuwa ya uongo,watu hawaaminiani,na hata yanazidi kupoteza utamu wake maana siku hizi watu hawaaminiani tena,sio...