Nitamwambia asante

Lovehate

Member
Apr 26, 2018
52
75
Alinikuta sina kazi nipo nipo tu nikamtongoza akanikubalia akaniambia ananipenda hivyo hivyo,mapenzi yakaanza akaenda chuo akanipatia kiasi cha pesa kutoka kwenye boom lake.

Nikamwambia poa nipe miezi sita faida itaanza kuonekana kweli bhana Allah akajalia mambo yakaanza kuwa mazuri nikazidi kumpenda nikampa moyo wote nikampa heshima ya kumuona huyu ndio mwanamke aliyeamua kuijenga empire yake ana haki ya kuaminiwa.

Tufupishe story Kilichomkuta anajua mwenyewe alinitumia txt akaniambia "naomba uniache uwe na mwngine " bembeleza anipe sababu hataki ikawa hivyo penzi la miaka miwili likaishia kwa style hiyo.

Siwezi kukutafuta tena ila siku ukinitafuta nitaishia kukwambia ASANTE
 
Huyo ni mwekezaji na mara nyingi wawekezaji huwekeza pale anapoona security ya mtaji wake ipo, yumkini alishanusa harufu kwamba utakuja kumtolea mbavuni ndio maana akaamua kukubwaga kabla!

Ebitoke aliokota mtoto baru baru wa mjini kwa jina la Yusuf akawekeza moyo,mwili na mali akidhani Yusuf huyu ni ukoo wa yule Yusuf babake Yesu wa kufikia but look kumbe huyu ni Yusuf Mlela bhana, kammega kisela kisha kamfyekelea mbali na maisha yanaendelea
 
Huyo ni mwekezaji na mara nyingi wawekezaji huwekeza pale anapoona security ya mtaji wake ipo, yumkini alishanusa harufu kwamba utakuja kumtolea mbavuni ndo maana akaamua kukubwaga kabla!
Ebitoke aliokota mtoto baru baru wa mjini kwa jina la Yusuf akawekeza moyo,mwili na mali akidhani Yusuf huyu ni ukoo wa yule Yusuf babake Yesu wa kufikia but look kumbe huyu ni Yusuf Mlela bhana, kammega kisela kisha kamfyekelea mbali na maisha yanaendelea
Uwoga wake tu dalili ya kumtolea mbavuni haikuwepo ila sababu anajua yeye
 
Sawa akihitaji pesa yake nitamrudishia,ishazaa nitampa kama msaada tu
Hii ikiwa na tafsiri kwamba wewe ulikuwa naye kimaslah zaidi si ndiyo? Watu wengine mnajichuchumila laana pasi kuja na wakati huo huo mkifanya mabinti washupalize shingo zao kwa wanaume ambao they means to be! Kama huyo ex wako yupo available tafadhali tuwekee namba zake za simu tujaribu bahati..wengine mitaji tunayo tunahitaji tu mwenye mapenzi ya aina ya ex wako
 
Hako ka ID kako naanza kunusa harufu ya usaliti, ngoja CAG mpya aje afanye ukaguzi kwenye mahusiano yenu tuone kama palikuwa na matumizi mabaya ya upendo na hisia ili tujue who is who kwenye sakata hili
Usaliti kwangu isingekuwa rahisi alijitoa sana kwangu zawadi ya kumpa ikawa uaminifu.
 
Back
Top Bottom