Usiombe likukute..!

Usiombe likukute..!

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,710
Reaction score
63,393
Usiombe likukute..!
Leo jioni nimetoka katika shughuli zangu nikarudi home, nikawa napata saladi ya matunda huku nikitafakari mihangaiko yangu ya siku nzima.

Baada ya kama dakika 25 hivi nikapokea simu kutoka kwa mpenzi wangu chura matata, akawa ananiuliza kama niko home ili aweze kufika. Basi nikamjulisha nipo home, na baada ya kama nusu saa hivi akawa amefika. Nikamkaribisha kinywaji ,serengeti nyeusi 3 na mishikaki 4, baada ya kumaliza kula akawa ananipa ishara ya kutaka tendo....nami kwa sababu namfahamu vizuri nikampa ushirikiano mzuri.

Katika zoezi la kwichikwichi kwa kuwa lilichukua muda mrefu aliweza kufika kileleni mara 2, na baada ya hapo akaanza kusikia kizungu zungu na akawa anaongea maneno ambayo siyaelewi. Baada ya kama dakika 3 hivi akawa kama amezima.....nilitetemeka sana nikakumbuka ule wimbo wa demu aliyefia geto. Nilianza kumpepea, kuwasha feni, kummwagia maji ili azinduke....baadaye fahamu zikarudi.

Baada ya kama dakika 2 akazima tena, nikaanza tena kuchanganyikiwa....ikabidi nimwagie maji kidogo ndio akaanza kupata fahamu. Baadaye ikabidi nimpeleke bafuni na kumuogesha na maji ya baridi ndipo akazinduka mazima na kuniuliza nimefikaje hapa.

Nikamweleza ilivyotokea, lakini hakujua kilichokuwa kinaendelea.....baada ya hapo nikampa maji ya kunywa mengi na kumsihi arudi nyumbani tuonane siku nyingine. Baada ya kuondoka nimekuwa na amani sana...lasivyo wakuu ingekuwa demu kafia geto kwa baharia
 
Ukisemacho ni kweli siku moja ilinitokeaga dah nilitaka kutoka nduki kilichonisaidia ni kwamba demi alikuwa anakaa kwa mama yake mdogo na alikuwa ananifahamu vizuri mtoto alizima ghetto mwanaume nikambeba mpaka home kwao,
 
Ukisemacho ni kweli siku moja ilinitokeaga dah nilitaka kutoka nduki kilichonisaidia ni kwamba demi alikuwa anakaa kwa mama yake mdogo na alikuwa ananifahamu vizuri mtoto alizima ghetto mwanaume nikambeba mpaka home kwao,
ha ha ha haya mambo yapo mkuu
 
Ni kweli kiongozi.. ila you have to choose clearly what to tell others
Ukisoma fani ya udaktari hasa mambo ya upasuaji,terminology nyingi zinaweza kuwa na maneno makali, kwa mtu ambaye hajazoea anaweza kufikiri labda jamaa anatukana;kumbe ndio hali halisi
 
Back
Top Bottom