Habari za jumatatu wadau na imani weekend ilienda poa sana
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kuna dada nipo nae kwenye mahusiano na ninadhani nilishaleta uzi hapa unamzungumzia huyo...
Mimi ninani
Ninayeweza mkumsaidia demu geto akalala mpaka asubuhi bila kumshika
Ninayeweza kumkopesha demu bila dhamana yeyote na kurudishiwa fadhila
Mimi ni nani, Mimi ni nani..............
?
Hope mko poa
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26s kwa kiasi flani maisha yangu sio haba namshukuru mungu atleast silali njaaa
Sasa nilikua nime plan nikifika kweye miaka 28 nioe ila daah...
Habari wanajamvi ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe mkristo
4: Awe anajua kupika na msafi
5: umri...
Habarini za asubuhi hii wanajamvi wenzangu, mimi ni mzima Afya namshukuru Mungu.
Nimekuwa na utaratibu kunyoa mara moja kwenye hizi saloon zetu za kiume ili kuepuka vishawishi vya wadada wanaotoa...
WANITESA NJAA
____________________
Katika mihangaiko ya kuhakikisha angalau na mimi napata uhakika wa kuunganisha mahusiano mazuri kati ya mkono na mdomo. Nikiwa naishi kwenye jiji la hekaheka...
Hii kitu sio siri,ni ngum sana kumzuia mtu asitamani yaan,iwe umeoa au hujaoa ,single and wateva,pande zote,sina uhakika kwa wanawake lakin.
Yaan upo na mtu,umemwacha nyumban,huna hata hamu nae...
Mwanaume (baba mwenye nyumba) anapokua na mazoe sana na dada wa kazi za nyumbani kwa kutaniana na kuchati (kuongea)sana kila anapokua karibu naye kuna ubaya?au mara nyingine kutokana na mazoea...
Ni week kadhaa sasa zimepita tangu nitimize sharti lake moja lililobaki ili niingie rasmi kwenye mahusiano ambayo nimeyapigania karibia mwaka sasa, tangu aje jiji dsm kutokea mkoa M, alifikia kwa...
Kwa kawaida tumezoea kuona mwanamme anapofiwa na mkewe, baada ya mda huoa mwanamke mpya na kuishi naye palepale alipokuwa anaishi na mke wake.
Je; Kwa upande wa mwanamke aliyefiwa na mmewe...
Ukikutana na mtoto wa kike, mtoto wa watu ukampenda na kumwambia, kwa uaminifu akakubali kuwa nawe, muheshimu. Ukiona hauwezi tena kuwa nae, kwa sababu zako mwenyewe unazojua, kama ulivyomkuta...
Holla,
Msimu wa sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya ndo umeingia.
Sijajiunga na kifurushi chochote cha kimiminika ila nasikia tuu ulimi unataka kutereza kimalkia. Ngoja nishindane nao, ila kichwa...
Mimi naitwa Nasra na nina mika 24, hilo nalileta kwenu jambo lango wana-jf naomba mnisaidie ushauri ili niwe kutatua tazizo hili linalonikabili hapa chini.
Baada ya mama yangu kufariki 2001 kuna...
Hey Guys,,,
I hope mko gud Ryt,,,
Ebwanaeeeh kusema ukweli life limekuwa gumu kiasi kwamba kuna time unajutia why dingi alimwaga ndani ukapatikana,Yan pesa imekuwa ngumu na matumizi yako juu...
Habari wakuu?
Natumai mpo safi baada ya mapunziko mafupi ya week-end, na mpo tayari kuendelea kupeana maarifa au kubadilishana mawazo na kupeana mbinu za kukabiliana na changamoto za kila uchao...
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe anaweza kuongea kiingereza
4: Awe anajua kupika na msafi
5...