Uko Tayari kumuoa au kuolewa na mpenzi unaedate nae kwa sasa??

Huyu manzi ana magonjwa kibao ya urithi na mengie sijui yanatoka wapi. Kiukweli naogopa kumuoa nisije kujuta maisha yangu yyote. Nitakacho msaidia ni kumfikisha kwa daktari wa wanawakae, nikifanikisha hivo itakuwa poa

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom