Ushauri wako ni muhimu sana

Ushauri wako ni muhimu sana

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Hope mko poa
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26s kwa kiasi flani maisha yangu sio haba namshukuru mungu atleast silali njaaa

Sasa nilikua nime plan nikifika kweye miaka 28 nioe ila daah nimepata upinzani mkubwa sana kwa watu mbali mbali na maoni tofauti
1.Group la kwanza limeniambia ukioa ndo hautapiga tena hatua au utasogea taratibu sana tofauti na mwanzo

2. La pili likaniambia ukioa ndo utasogea utapata maendeleo tofauti na kabla hujaoa yaani utakua na akili ya utafutaji twice

Kwa jinsi nilivosikiliza maoni yangu
Group namba moja nimelipa 68%
Group namba 2 nimelipa 32%
Vp wewe kwa upande wako unanishaurije?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom