Kutamani then cheatin is more of a natural thing wakuu

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,086
15,958
Hii kitu sio siri,ni ngum sana kumzuia mtu asitamani yaan,iwe umeoa au hujaoa ,single and wateva,pande zote,sina uhakika kwa wanawake lakin.

Yaan upo na mtu,umemwacha nyumban,huna hata hamu nae yan,na ni mtoto mkali tuu,hata mashine haisimami kwake.

Unatoka nje unapishana na dada anauza matunda au bar maid unamtamani had unachanganyikiwa.mnara unasoma 6G

Hii inatokea mara kwa mara na kupelekea ku conclude kwamba

Hata kama umeoa ,hujaoa,una dem unampenda sjui nin,ishu ya kutaman theen kucheat naona ni natural phenomena

Uzi tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh
Unamaanisha ukiwa na mtu unamzoea alafu unaanza kumtamani tena wa nje
Hii circle ni balaa,manake huyo muuza matunda nae anatamaniwa na wengine kibao alafu nae ana mmewe🤣🤣🤣🤣
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom