Mara baada ya kifo simu zinakuwa chini ya mgane au mjane.
Kwa kipindi hiko baada ya kifo baadhi ya michepuko wanakuwa hawana taarifa ya kifo.
Hapo ndipo maumivu yanazidi because anagundua madudu...
Nlifanikiwa kukutana na binti mmoja tulikua hatujuani, baada ya kuwasiliana kwenye simu kwa mda kadhaa, jana tukafanikiwa kumeet.
kiufupi msichana ni mrembo sana, mweupe na sio level kwa jinsi...
Kama Kichwa cha nyuzi kinavyosema.Natafuta Mpenzi ili baadaye awe kuja kuwa mke.
Sifa zangu;
Jinsia Me
Umri 30
Kazi Muajiriwa
Kimo Sio mrefu wala mfupi
Elimu yangu. Shahada ya kwanza...
Wasalaam,
Kuna mjomba wangu mmoja ametongozwa na Mke wa mtu na amemtaka hata ampatie mimba tuu.
Huyu dada ni mke wa mtu na ana watoto wawili.Cha kushangaza anasema mume wake siyo chaguo lake...
Heri ya Mwaka Mpya waungwana.
Leo napenda kushare na ninyi wana MMU hasa wanaume ambao wana ndoto ya kufika mbali.
Imekuwa kawaida sana kwa mwanaume kutoa pesa au kuhonga (nazungumzia kwa wale...
Rejea kichwa cha habar hapo juu!!
Mimi nilikuwa nahitaji kufahamu ikiwa mtu una mpenzi wako wa muda mrefu na unataka kumvalisha pete ya uchumba.
Je kuna taratibu zipi zinapasawa kufanywa...
Habari zenu waungwana,kheri ya mwaka mpya 2020,naomba kujua jamani kuhusiana na tabia za wanawake ambao wanafika kileleni wakiwa kwenye sitakwasita,anakuwa na hari gani?
Sent using Jamii Forums...
Ukianza kuambiwa mtu yuko busy, hakuna aliye busy kiasi cha kusahau ubavu wake. Hata awe safarini kabla ya kulala atatafuta muda wa kukujulia hali. Mwenza akikosa muda kabisa wa mawasilianao mmh...
Unakuta kwenye simu yako una list ya marafiki 1000+; ambao umewasiliana nao mwaka mzima na mawasiliano yao na wewe yako active ni wanne (4) tu; Sasa hao wengine uliowaweka kwenye simu yako wana...
Msikilize mwenza wako, narudia tena msikilize mwenza wako kwani huyu ni mtu anayekujua kwa undani kuliko watu wengine.
Ndiye anayepaswa kuwa mshauri wako wa kwanza.
Omba ushauri na maoni kutoka...
Hapo ulipo kuna mapenzi ya kweli au unachunwa?
Wanaume wengi tumekuwa katika mahusiano tukiamini tunapendwa kwa dhati, kumbe kwa upande mwingine tunapendwa kwa sababu tunatoa huduma fulani...
Wadau niko kwenye Ndoa kwa miaka kadhaa sasa.
Ndani ya miezi miwili iliyopita nimeota ndoto ambazo zinafanana sana;
Ya kwanza niliota mwezi uliopita, niliotamwanaume ambaye simfahamu amekuja...
Jamani ninakosa kujiamini pale
Ninapokua faragha na mtu wangu hasa machine yangu ikiwa imelala inakuwa ndogo lakini ukisimama mzigo unakuwa kwenye saiz inayotakiwa nina23yrs ....tushee experience...
Am in need for a female friends for charting and for more familiarization.
U're welcomed may be we can develop more friendships.
Come to my PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi halisi yapo, wachache wamegusa kuonja na kuona mapenzi halisi, lakini it’s fate kama ilivyo kwa mambo mengine kwenye maisha kama elimu, afya njema, ustawi katika uchumi, kukubalika katika...
Habari Zenu Wakuu ??
Nimekuja kwenu nikiwa na jambo la kuzungumza nanyi , Rejea Maada Tajwa Hapo Juu , Mimi ni Kijana wa Miaka 28 .. Nimeleta maada hii kama funzo na somo kwetu sote, haswa nami...
Nakumbuka miaka kama miwili nyuma nlikutana na mzee mmoja akanipa kisa hiki.
Kuna marafiki wawili walioshibana walianza maisha pamoja, wakiwa wamepanga chumba kimoja ila baada ya miaka miwili ya...
Wakuu habari za mapumziko!
Ni mara nyingi nimeshuhudia wadada kuingiza vidole midomoni mwao wakati wa majambozi. Nilitamani kuwauliza ila moyo unasita! hebu wadau mkaribie tusaidiane kujua kuna...
Suppose kila mta anatakiwa kumuoa/kuolewa na mtu aliyebanjuana na mara ya mwisho. Naamini kuna watu watateseka saaana [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa hili ma-< bar maids wataolewa saaana...